Vieloon
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,520
- 694
Watanzania tumejaa unafiki na nidhamu ya uoga, ndio maana hatuendelei sababu tuu waoga kusimamia ukweli.
Nan kasema njaa haipo?? Njaa ipo kila sehemu Tanzania, anayesema hakuna njaa Bas kashiba huyo au ni mpiga deal...njaa haikuanza leo na haitaisha leo, me naona km ndio inazidi. Watanzania wanavuja jasho sana hasa vijijini ila maisha bado ni ya dhiki, sasa hata chakula ni shida.
Vitu kama njaa havihitaji utafiti Mkubwa sana kujua.
Ila Njaa na dhiki ipo Tanzania. Na sasa sio tu kwa wale hohe hahe walioizoea hali ya dhiki sasa had hawa wenzangu na mimi watu wa kati tunalia njaa, kila mtu sasa analia njaa had wafanyakazi wa umma waliokuwa wanajiona wapo juu kidogo nao wanalia njaa, mshahara utatosha vip wakat kila kitu Bei juu, wazazi wetu vijijini wanalia Njaa, wastaafu hawalipwi on time, watu wanauana kisa njaa, hela inashuka thaman, mishahara inakuwa haitoshi, kilimo hakitoshelezi, vyakula vinapanda bei Af mtu unatoka huko anakomaa et hakuna njaa!!! au unakula bure wewe!!!? Au wewe unachakula cha kutosha, gawaia tusio nacho Bas!
Sisi huku kila mtu analia njaa , Na tunajitahid kupambana ila bado tunakwama kutokana na hali na mazngira.
Viongozi msizibe masikio wala kufumba macho, Njaa ipo huku mitaani na vijijini.. inahitajika ufumbuzi wa kueleweka sio porojo na malumbano..ndio maana tuliwachagua!!
Muda wa Siasa si umepita..tusimamie ukweli sasa, tunaona inakufa mifugo kwa maelfu ila amin usiamin had watanzania wanakufa kila kukicha sabab ya njaa na dhiki!
Tuamke sasa Kila Mtanzania atimize wajibu wake sio kupanic na kutupiana lawama au kudanganyana.
Njaa Na Dhiki vipo....