Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,369
- 15,161
Hivi unawezaje kuiba tablet (kishikwambi) yenye thamani ya laki na tisini na tano? Ukiiba unaenda kuuza shilingi ngapi?
Mi niliibiwa vitumbua vyangu sebuleniHivi unawezaje kuiba tablet ( kishikwambi).. chenye thamani ya laki na tisini na tano...na ukiiba unaenda kuuza shilingi ngapi?
Nimecheka kifara sana,Watu wanaiba hadi paka![]()
Hivi unawezaje kuiba tablet (kishikwambi) yenye thamani ya laki na tisini na tano? Ukiiba unaenda kuuza shilingi ngapi?