Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
- Thread starter
- #21
Nitakukaribisha kwenye uzinduzi ufurahiJana hili leo lile
Nitakukaribisha kwenye uzinduzi ufurahiJana hili leo lile
Aaaah aisee .kweli Mkuu umesema jambo la muhimuIvoo vipodozi angalia EXPIREdate.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani mbona nikiposti papuchi mnachangia?
Unazidi kukosea,Ndo maana nikaomba ushauri Mkuu japo ni mtu namfahamu sana.
Asante sana kwa ushauri ndo maana naipenda jf . mkinywa viroba mnatoa madini balaa.ahahaa
Ana mabiashara Mengi anahama nchi so ameamua apunguze hana wasimamizi wazuri mkuuZingatia sababuu kuu inayomfanya muuzaji akuuzie na ujiulize kama biashara ilikua unamlipa kwanini aiuze...
Ni kweli mangi .kweli kabisa.Unazidi kukosea,
Ondoa hilo neno ni mtu namfahamu.
Tushapigwa na ndugu wa damu kwa kuamini hawezi kufanyia uhuni.
Kwenye biashara hasa kama hiyo Usiendeshwe na hisia au imani.
Chunguza, Chunguza, Chunguza.
Ahahaaa. Poa poa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukitoka kikaoni upost papuchi
Ebu weka picha ya hiyo papa kwanza....[emoji39] [emoji39]Jamani mbona nikiposti papuchi mnachangia?
NimewekaEbu weka picha ya hiyo papa kwanza....[emoji39] [emoji39]
Hapo ndio utajua jf imevamiwa nowdaysNaombeni ushauri
Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia unapotaka kununua biashara /?
Biashara yenyewe ni duka kubwa la jumla la vitu vya nyumbani ,Vipodozi na vinywaji.
Manunuzi yanahusisha eneo lote la duka na bidhaa.
Asanteni
Hahaha miss bhana unavitukoJamani mbona nikiposti papuchi mnachangia?
Wachawi wa maendeleo utawajua tuHapo ndio utajua jf imevamiwa nowdays
Asante. Na mimi nilitaka kusema hivyo hivyo. Fedha haina cha kumfahamu mtu, haina rafiki, haina ndugu. Kwenye fedha m-treat kila mtu kama humjui!Unazidi kukosea,
Ondoa hilo neno ni mtu namfahamu.
Tushapigwa na ndugu wa damu kwa kuamini hawezi kufanyia uhuni.
Kwenye biashara hasa kama hiyo Usiendeshwe na hisia au imani.
Chunguza, Chunguza, Chunguza.
Mi namuomba mkeoNaomba kazi ukishalinunua hilo duka
Mtaani kugumu,nina wake na watoto 7.!
Kumbe wewe ni mtu mkubwa sana mkuu mimi nikafikiri tofauti na chura huna kingine chochote![emoji53][emoji53][emoji53]Nimeona hawajibu bna na Mimi saa nane natakiwa kwenye kikao cha maamuzi