Nizar Khalfan amwaga msaada IKULU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nizar Khalfan amwaga msaada IKULU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Sep 6, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Kiungo nguli wa kibongo anae kanyaga ndimu pale canada Nizar Khalfan leo aliitembelea white house ya tz!<br />
  Akiwa sambamba na wadhamini wake aliweza kumsalimia rais na kutoa msaada wa jezi ya timu anayoitumikia ya Vancuva White caps yenye namba 04 sambamba na jina la rais Kikwete!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,220
  Trophy Points: 280
  Hajakabidhi suti kutoka canada?
   
 3. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Angalieni jamaa asizibanie maana ana uroho wa nguo kama nini. Chacha zile suti atatupa au atavaa?
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kumbe ni jezi tu.................huh
   
 5. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Duh, hivi Raisi ana jezi ngapi mpaka sasa na mbona hazivai au uwa anampa Riz1?
   
 6. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hajampa na tende???
   
 7. Elinasi

  Elinasi Member

  #7
  Sep 6, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  hahahahahaha
   
 8. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #8
  Sep 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Tehee! Tehee! Tehee! Mkuu ulitaka kingine nini?
   
 9. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Boxxer
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Kwa mara ya kwanza nakutamkia kwamba hizi ni pumba na hazina nafasi hapa JF. Jezi ndio kumwaga msaada!! ebu acheni upumbavu kama huna la kundika sio lazima uanzishe thread, soma za wenzako na uchangie, huu ni utoto unaotuletea hapa.
   
Loading...