oii hiki mbona kijeba chaApril 5,1975 lini tena kawa an 21yrs old?
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotumwa na Mkurugenzi Mkuu wa Moro United, ambayo mchezaji huyo anachezea, Azim Dewji jana, ilieleza kuwa Nizar mwenye umri wa miaka 21, anatarajia kuondoka mwishoni wa mwezi huu, tayari kwa majaribio yatakayoanza Juni mosi chini ya kocha Harry Redknapp.
lakini mkuu nizar kijeba 34yrs old totenham unafikiri wajinga wamchukue kweli?Tunamtakia ushiriki mwema ajitume ili achaguliwe maana west africa wenzetu wanashinda huko kila siku ajili kujaribiwa tuu...tena wanajipeleka wenyewe kwenye free trials....hawachezi mbali na uwanja wa mazoenzi hata kwa mwaka mzima wanakomaa......ndipo wanatokea hapo hapo....
lakini mkuu nizar kijeba 34yrs old totenham unafikiri wajinga wamchukue kweli?
Muda si mrefu wachezaji wa kitanzania wataanza kucheza soka ulaya wasikate tamaa
ulitaka chanzo toka wapi?Inawezekana mwandishi wa gazeti anataka kutuingiza kingi, yaani watu wame-stuck kwenye enzi zilee za kudanganya umri..poor us! lakini hata hicho chanzo cha habari ulichotupa nacho kinaonekana muflis hoi bin taaban na hakina tofauti na hilo gazeti..lol
ulitaka chanzo toka wapi?
aaarrg wewe nae unakuwa kama X-paster....Chanzo chako kinachekesha..thats was the pwenti brazakaka..
aaarrg wewe nae unakuwa kama X-paster....
YOYO ,Nizar Halfani nimesoma nae primary hata kama amedanganya umri nina uhakika hafiki hiyo miaka 34, atakuwa between 23-27lakini mkuu nizar kijeba 34yrs old totenham unafikiri wajinga wamchukue kweli?
lakini mkuu nizar kijeba 34yrs old totenham unafikiri wajinga wamchukue kweli?
mkuu mimi kuna jamaa wa musoma nilisoma nae tuko from one ana miaka 24!YOYO ,Nizar Halfani nimesoma nae primary hata kama amedanganya umri nina uhakika hafiki hiyo miaka 34, atakuwa between 23-27
tehe tehe mkuu unanichekesha.....serengeti boys wale wengi wao vijeba...NIZAR hana miaka 34 kwani uliwahi kupitishwa mchujo wa wachezaji walipokuwa serengeti boys, yeye hakuguswa aliyepatikana ni NURDIN BAKARI.
mkuu van de sar namba ingien ile kaanza soka la kimataifa tangu akiwa na 20 Ajax kacheza club kubwa juve fulham ndio man u......sasa huyu 34yrs old straight to toten?anyway namuombe kwa mungu afanikiwe ili iwe njia kwa wengine....kwani hata kama ana miaka 34 kama wao wanamtaka hakuna tabu,nimeona comments michuzi blog juu ya kipa wa Man united VAN DER SAR kuwa alijiunga na machester akiwa na miaka 35 nimepitia website ya man united na kuona ni kweli.
Yoyo hatua ya Nizar KWENDA Spurs ni ya kupongezwa hata kama hatapita kwani jina la nchi litaanza kuonekana.Drogba alifanya trials zaidi ya mara saba kabla ya kufanikiwa.
ila kwa Nizar kwenda Spurs sio rahisi kwake ku break through kwani kuna Zakora na Jenas hawana permanent namba kwenye timu hiyo.
kama alivyosema mdau mmoja hapo juu kuwa wangeanza na timu za ligi one au two huko wangetoka.
umefika wakati wa hawa maajenti ku focus kwenye timu ndogo.leo hii tukiwaomba liverpool kuwa kuna mgosi anataka kufanya trial watampa nafasi lakini reality ni ngumu yeye kupenya.
kila la kheri NIZAR