Mfalme Daudi aliandika: 'Nalikuwa kijana sasa ni mzee, sijawahi ona mwenye haki ameachwa wala watoto wake wakiomba mkate barabarani'. Nami M. Matale nilikuwa kijana sasa ni mzee, sijawahi ona mchezaji wa Yanga anayehitajika klabuni amechukuliwa na Simba bali nimeshuhudia Yanga ikiinyanyasa Simba kwa kuchukua wachezaji wao tegemeo viz. Method Mogella, Akida Makunda, Said Maulid, Athuman Idd, Nurdin Bakari, Kelvin Yondan just a few to mention.