Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
kama ni msichana ukiwa una date na mwanaume mdogo unajifeel unconfortable kwenye iyo relationship hata kama anakupenda, jamii nayo midomo juu
ukidate na mwanaume wa rika lako mwanaume anaringa ,unaumizwa regularly,yaani ni full mateso wewe ndo unapenda zaidi wewe ndo unashikilia penzi upendo toka kwa mwenzako ni wa kubahatisha,mnaishi kimachale machale any time unaeza kuachwa.
Ukidate na mwanaume mtu mzima hata kama unampenda hajiamini, jamii inakuchukulia kama unamchuna, yeye mwenyewe anaona uko kwa kitu flani pia unamsaliti lakini atakupenda.
Niambieni niangukie kipengele gani nitakuwa na amani?