Tarehe 8 tutajuaSimba Bado kushindania ubingwa
Simba sio timu mbaya, ni timu nzuri mno
Lakini laZima tubaki kwenye lengo mama kuwa tunatengeneza timu.
Timu yetu Bado changa kushindana Kwa ajili ya ubingwa, tusiwape wachezaji wetu pressure
Kuna mashabiki walijidanganya ati wanachukua ubingwa msimu huu
Utachukuaje ubingwa mbele ya Yanga yenye striker mahili kama Dube, Musonda na Mzize
Yanga yenye Azizi ki, Pacome, Max, mudathir
Na timu yetu ina Mpanzu, Ahoua, Chasambi na Mutale
Yanga ina kiungo Chuma kama Aucho na Abuya, Simba Kuna Okajepha na Deborah
Uzani sio sawa
Mabeki kama Job, Bacca, Yao, Boka
Wewe una kapombe, Malon, Hamza na shabalala
Kiukweli Simba kuwa bingwa kwenye ligi yenye wachezaji kama wa Yanga ni dharau kubwa Kwa ligi yetu
Nawasihi Simba wajipe miaka 3 ya kushuka kikosi chao na wala wasiwaze ubingwa
Yanga bingwa
Kushuka wapi tenaNawasihi Simba wajipe miaka 3 ya kushuka kikosi chao
Timu mbovu haijashiriki kabisa ligi ya mabingwaKila timu inafungwa,timu ya ushindani imetolewa ligi ya mabingwa.
Mimi nilitaka kuona presha ambayo yanga wanawapiga Simba kwenye matokeo nilitaka nione je wataweza kuhimili? Hatimaye wametema bungo wenyewe,,kitendo cha yanga kupepesuka kidogo kiliwapa kiburi sana kwamba Wana timu imara ya kubattle na yanga kwenye mbio za ubingwa but walikuwa wanajidanganya kwasababu ukiangalia aina ya kikosi walichonacho yanga,,matulity ya mchezaji mmojammoja,,team work na ubora wa vikosi vyote viwili utaona Simba bado sana kumfikia yanga,,Simba sio timu mbaya, ni timu nzuri mno
Lakini laZima tubaki kwenye lengo mama kuwa tunatengeneza timu.
Timu yetu Bado changa kushindana Kwa ajili ya ubingwa, tusiwape wachezaji wetu pressure
Kuna mashabiki walijidanganya ati wanachukua ubingwa msimu huu
Utachukuaje ubingwa mbele ya Yanga yenye striker mahili kama Dube, Musonda na Mzize
Yanga yenye Azizi ki, Pacome, Max, mudathir
Na timu yetu ina Mpanzu, Ahoua, Chasambi na Mutale
Yanga ina kiungo Chuma kama Aucho na Abuya, Simba Kuna Okajepha na Deborah
Uzani sio sawa
Mabeki kama Job, Bacca, Yao, Boka
Wewe una kapombe, Malon, Hamza na shabalala
Kiukweli Simba kuwa bingwa kwenye ligi yenye wachezaji kama wa Yanga ni dharau kubwa Kwa ligi yetu
Nawasihi Simba wajipe miaka 3 ya kushuka kikosi chao na wala wasiwaze ubingwa
Yanga bingwa
Unajua sana kuchambua boliMimi nilitaka kuona presha ambayo yanga wanawapiga Simba kwenye matokeo nilitaka nione je wataweza kuhimili? Hatimaye wametema bungo wenyewe,,kitendo cha yanga kupepesuka kidogo kiliwapa kiburi sana kwamba Wana timu imara ya kubattle na yanga kwenye mbio za ubingwa but walikuwa wanajidanganya kwasababu ukiangalia aina ya kikosi walichonacho yanga,,matulity ya mchezaji mmojammoja,,team work na ubora wa vikosi vyote viwili utaona Simba bado sana kumfikia yanga,,
Na yanga wanacho kikosi kinachoweza kushinda ata mechi kumi mfululizo bila kutikisika but Simba awawezi!
Mzima inaendelea kushiriki,itabidi ianzishwa kitengo sindikizi.Timu mbovu haijashiriki kabisa ligi ya mabingwa
KabisaMzima inaendelea kushiriki,itabidi ianzishwa kitengo sindikizi.
Unajua sana kuchambua bolka