Mkurya wa Mwanagate huyoHakuna 'Mkurya' Mjivuni ( Majipu ) na Mshamba ( Mbwiga ) hivyo Mkuu. Huyo nahisi atakuwa ni ama Mhaya au Mjita na pengine akawa ni Mjaluo.
Kwaroho mbaya watu weusi tuko vizuri. Mleta mada kaomba ushauri wa jambo la kufanya lakini wengi wanamzuia asitimize nia yake ilhali hajaomba msaada wa pesa.Mwalimu wetu wa physics form two sijui alikua anafundisha topic gani akatuambia ili rocket ipae inahitaji ukinzani wa hali ya juu sana kisha akaendelea akili ya binadamu ni kama rocket ili ifanye kazi inatakiwa ibanwe kisawasawa na kuanzia hapo alitupeleka mchakamchaka mpaka wengine walikimbia somo lake
Sasa nachotaka kusema hapa ni kwamba hao kaka zako acha kuwadekeza we wakatie mirija kabisa ikiwezekana hata wakikupigia simu usipokee badili namba kabisa kisha fanya mambo yako ya msingi haiwezekani dume zima at age of 30 unalilipia kodi na hela ya nauli unalipa litajiongeza saa ngapi sasa
We kata misaada fanya mambo yako wangekua wa kike kidogo inge make sense
Hakuna Vita yoyote ya kiroho,ni ujinga tu wa kimalezi kutokana na wazazi kuwa na excitement na mtoto,hii Imani mnalishana Sana kwenye makanisa yenu ya sadaka,Lea watoto vzr wape exposure,kuwa muwazi kwao wote na wafundishe kuwajibika tangu wakiwa wadogo hakutakuwa na kitu sijui vita ya kiroho Wala nn ..Mtoto wa kwanza ana vita kubwa sana ya kiroho ila kwa leo sitozungumzia hilo....ila Shetani anapenda kuwaharibia future sana watoto wa kwanza kwa kuwa anajua kwamba mtoto wa kwanza akifanikiwa basi kwa wanaofuata huwa ni rahisi....Lichunguze hilo....
Nimesema hivyo kumaanisha kuwa wewe ndie umebahatika na unaeweza kurejesha amani tena kwenye familia hivyo Focus kutengeneza maisha yako kwanza huku ukimuomba MUNGU akuongoze utimize hilo kwa haraka then ndio uangalie utaratibu wa kutengeneza ya hao wa nyuma yako....Hapo ukicheza vibaya mtajikuta level moja japo unasema una elimu maana hiyo vita ni ya Shetani