Hapo beach kunakuaga na vijimijusi na kaa, uangalie wasije pitia hapo na kuona baadhi ya maeneo ya jiografia yako kama pango na kuamua kuingia ili kujisitiri na jua na upepo!!!
picha nzuri kama vile ni mke wa muheshimiwa nanihii, nani vile?
:smile-big::smile-big::smile-big::bowl:
Natamani kuonana na wana JF wote kwani kila mmoja ananigusa kwa staili yake.
Wengine ningependa nikutane nao, na wengine niwaone kwanza kwa mbaali, then niamue nielekee upande gani.....! Hii ni kwa hisia ninazopata kutokana na majina yao...!Nikawaida ya mwanadamu kuona kile anachokiamini je niwangapi wanatamani wangekutana live na hawa wenye user's name hizi??Nyamayao,Firslady1,Preta,Rose1980,Mwanajamii one,BigMama,thefinest,kibweka,EL Toro,Ndibarema,Katavi,Bujibuji,Kituko,Mwasu,Mwanakijiji,Rutashubanyuma,fidel80,Pakajimmy,dreamliner,Gaijjin,Kakajambazi,acid,kakajambazi,Baba_enock,Rev Masanilo,Fixed Point,Funza dume,Kaizer,Asprin,Smiles,bht,Buchanan,Baba gft,Chauro,Daughter,Dreamer,Dem amsi,Invisble a.k.a Robot,Painkiller,Masiki_Jeuri,Maty,Kimey,Nyani Ngabu,Mchukia ufisadi,Da Sophy,Roya roy,Katerero,KakaKiiza,?:doh:Msanii,Safari_n_Safari, tafadhali tupo pamoja!!
Mbona hata mkanda hujafunga? Au unaruhusu selfservice? Aidha, nawashauri wenye hitaji wakajisevie...!Ngojeni nimalize likizo kwanza ntawajibu niko Cancun kwa sasa
Hilo lindo ni tamu sana....! Hata ikiwa gerezani unaweza kutamani kuongezewa muda, na kuona msamaha wa raisi kama adhabu tena...!Halafu ULTIMATE za huku kiboko...wamenipa huyu ananilinda
Mbona jina langu hakuna inamaana hakuna anayetaka kukutana na mimi au ndo chuki binafsi.
Mbona jina langu hamjalitaja au hakuna anayetamani kukutana nami?
Mkuu, kwa ulinzi huu huko bichi kuna amani kweli?