Niwakumbushe mabomu ya machozi hayafanyi kazi kwenye mvua

Dogo punguza presha mbona kama umeanza kuingia baridi?
 
Yasijekuwa yaleyale ya Kinjekitile Ngwale na risasi za Mjerumani kugeuka maji,maana kuingizana chaka hakujaanza leo hapa Bongo country.
 
Wakija na vile vimbwa vyao koko, vitupieni tu makongoro! Kutokana na njaa, vitakula na kuacha kuwabwekea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…