Niwachekeshe kidogo

Heheh yaan sijui alifikiria nini aisee,halaf sura yake chungu aisee hata hamu hupati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ww endelea kuringa tu..... ipo siku utakuja kuangukia mikononi mwa mtu ambaye hata.....

Pia atakufanya na kukipiga chini
 
"pesa ya serikali hailiwi bure,
Kama ulichukua hata sentí taño, utailipa kupitia sehemu yeyote ya mwili iliyo wazi"

Nimenukuu mahali
 
Mm ndo maana huwaga nawatesa sana wasichana coz mnajeuri sana
 
Kwa hiyooo hiyoo helaa Angekutumiaa Uende hotel akuto.... ungeenda ausio..!???
Haa ha ha... Ogopa mwanamke mzuri alafu kichwani empty... huwa mnaliwaaa mpaka mwishooo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…