Niwachekeshe kidogo

Daah kwa matukio haya daah bado sanaa kuoa
Maana unaweza jifunga kitanzi bure tu.

Kama ndo wanawake wenyewe ndo hawa hapana kwa kwel
 
Unaonekana kuwa mke wa lakini, tulia kwako acha kula kula kuna siku itatokea puani usije na uzi wa kuanza kutusumbua kwa nyuz ndefu apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…