Niwachekeshe kidogo

Du ww bila shaka itakuwa ni wale madada wanaodanga kama wa pale sinza
 
Ila nakushauri usipende kula vya watu afu unawakimbia utakuja kutana na watu wabaya
 
na mnajua tu mtu ambae humuwazi wala humpendi akikupigia simu jinsi venye unavyojisikia vibaya kupokea ,,maana unaona hata hakufurahishi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unakuwa kama hivi
 
Duh
 
JF:
wanaume wote wajanjaaa.
Wanawake wote wajanjaaaa.
Wanaume wote wanagongaaa.
Wanawake wote wanachunaaa.

Hivi hamna maboya humu?
 
Mmmmmh
 
Mombasaaa duuu kama hawezi ntakupeleka miee,,maana inaonyesha hata akikupeleka hata kufikisha,,
 
Mbona haichekeshi sasa?
 
Nyie ndo mnakujaga hapa kulalamika mnatafuta mabwana baada ya kuchezewa[emoji23][emoji23][emoji23] mara ooh wanaume watu wabaya sana kumbe mnalianzishaga wenyewe[emoji23][emoji23]umri haukusubiri mama..make a wise choice!
 
ukipewa unapokea aafu unamblock...si ungemwambia tu mapigo yako ni kimjini kimjini...huko kwingine unawaachia ngedere
 
Naona ule umri wa kuwakataa masharobaro hauja kukuta bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…