Niwachekeshe kidogo

US tena kwa trump?😀😀we mama sabrina weweee
Tena namuambia ukanilie tukishafika huko huko tupate ladha mpya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: CTX
Yan hapo ni sawa sawa na umesimama mlangoni haijulikan unatoka au unaingia, mana hauelewek tatzo ni sura mbaya au tatzo ni kijijini, mana umesema kuna mtu mmoja tu anaweza akakupeleka popote. Halaf iv unamchukia mtu kias hicho hapo hapo mwingne unampenda kias hcho, hv sku akikutenda ukaenda dukan ukanunua kamba ukajinyonga ukafa tukakuzika usiotupenda tukala ubwabwa utamlaumu nani?
 
Ntawalaumu nyie kwenda kula ubwabwaa[emoji23][emoji23]
 
Yadi ulivyosema utuchekeshe ina maana ulikubali jamaa kukufanya kitu hii stori yako inaweza ikawa defence mechanism wasichana wengine wasimtafute huyo jamaa yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]eti unaenda sehemu hadi unamkumbuka marehemu bibi yako
 
mie nakushauri kihenga shost !umekosea kumblock na umekosea kwenda huko shamba ! yaan sijui niiwekeje hii !au la ungeikataa offer yake (fare)!...huwez jua jamaa kakupenda mazima !mwe mwe mwe mwe !
 
Kweli we ni kuku wa Tambiko
 
Pumbafu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…