Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Au sioWeka namba yake hapa muda si mrefu utamuacha mwenyewe humu kuna ma kombakomba..
Kabisa asee maana mapenzi bila ya kuyapalilia kwa vipesa hayaendi hata kama girl anakukubali vipiWanawake karibu wote mabomu tu.... wanakupenda ukiwa na cha kuwapa.
Ukitaka kuoa tafuta kabomu kenye walau na kazi.
Wanawake msinishambulie ametype babu yangu mzaa kaka.
Mbona umeandika vitu visivyoeleweka mkuu ebu soma kwanza uje tenaTatizo ni wewe unayekaa kwa shemeji yako mpaka unakopwa na hapo ujakopwa wanachukua gharama yao ya pango na chakula!
Mwenye kazi ujiandae kumuweza sasa atakusumbua si anayo pesa.Kabisa asee maana mapenzi bila ya kuyapalilia kwa vipesa hayaendi hata kama girl anakukubali vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa kaka,kiukweli kama yasingekua haya majanga yalontokea ningejibebea credit sana kwake ila sasa now ni Ile tu ilimradi hamjaachanaMwenye kazi ujiandae kumuweza sasa atakusumbua si anayo pesa.
Ila huyu unayemwacha raha yake unajiendeshea.
Sasa kwanini ujisumbue...mweleze ukweli ya yaliyotokea uone kama atakaa avumilie au atakukimbia. Hata ukioa unafikiri utakuwa stable siku zote? Kuna siku utaishiwa.Uko sahihi kabisa kaka,kiukweli kama yasingekua haya majanga yalontokea ningejibebea credit sana kwake ila sasa now ni Ile tu ilimradi hamjaachana
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua haya ni maoni yako ila sio kesi tukiyajadili.Mpiganie Kama anaonyesha wazi upendo kwako. Lakin jaribu kumweka wazi juu ya kipato chako kuathirika pamoja mjadili Nini la kufanya ili kuokoa jahazi.
Pesa Ni maua tu Leo ipo kesho hakuna, inabidi maisha yaendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Dude! Are you in relationship!?Najua haya ni maoni yako ila sio kesi tukiyajadili.
Umpiganie mtu kwasababu anaonyesha dalili za kukupenda tu?
Binafsi nampongeza mtoa mada...kumpigani dada yake ni jambo la kuigwa kuliko kuendelea kumpigania huyu mdada mwingine wanayeunganishwa na kaupendo tu ka sex ya kitandani.
wanasema "usiuamini uaminifu wa mtu mwenye njaa"Wanawake karibu wote mabomu tu.... wanakupenda ukiwa na cha kuwapa.
Ukitaka kuoa tafuta kabomu kenye walau na kazi.
Wanawake msinishambulie ametype babu yangu mzaa kaka.