Nivue

halivulikagi hilo ni la moja kwa moja yaani daima dumu
 
hahaaa EL ntakukumbuka sana ukifa..yaani kichwa chako kama calculator mweee.JK jana mwenyewe kafyata ..na ukamchana live kuwa yeye ndo alikataza kuvunjwa mkataba wa richmond...haha baba riz kazi unayo
 
halina zip wala vifungo hilo......full-suit....labda kwa grinder ndo mnaweza kulivua kwa kulikata vipande vipande
 
kuvua mbele ya umma wa watanzania wote si kitu rahisi gamba nalo bado linapenda kuheshimiwa,ukililazimisha tu
linatoka na damu,je ukotayari kutokwa damu mwili mzima?
 
kuvua mbele ya umma wa watanzania wote si kitu rahisi gamba nalo bado linapenda kuheshimiwa,ukililazimisha tu
linatoka na damu,je ukotayari kutokwa damu mwili mzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…