Nivue nguo nikupe utamu

Nivue nguo nikupe utamu

Joined
Jan 16, 2013
Posts
23
Reaction score
4
Mwalimu wakiume alipowaambia wanafunzi watunge vitendawili na hapo ndipo mwanafunzi m1 wa kike aliposema 'nivue nguo nikupe utamu,.,mwalimu alikasirika nakuanza kumcharaza yule denti bakora.,ndipo wanafunzi wenzake wakamtetea na kumwambia mwalimu kuwa jibu ni ndizi..
Mwalimu hoi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom