Susy JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 1,431 Reaction score 222 Feb 15, 2011 #1 Nawapenda nyoteeeeeee wana JF nilikuwa naomba kusaidiwa je nivituo gani vizuri ambavyo naweza kumpeleka mdg wangu akasome kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja? namaanisha kituo ambacho hakina mizengwe na chenye walimu wazuri, help!!
Nawapenda nyoteeeeeee wana JF nilikuwa naomba kusaidiwa je nivituo gani vizuri ambavyo naweza kumpeleka mdg wangu akasome kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja? namaanisha kituo ambacho hakina mizengwe na chenye walimu wazuri, help!!
Dio JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 1,274 Reaction score 159 Feb 15, 2011 #2 Nenda maeneo ya mwenge kuna k2o kinaitwa decent kama vp ni pm then nikuelekeze hapo