wamachinga mtaongea sana leo
Nimekumiss we mtoto, unaonaje leo jioni tuonane Brajec...!???
mhhhh nina machungu mwenzio
Lazima utakuwa shabiki wa Simba wewe si bure...
dah! kweli kumechafuka.
eti king kan unasemaje
eti king kan unasemaje
Lady doctor kaseviwa??
yan hapa hata sina àmani nikianguka sijui nani atànipa first aid.
mambo ya Mzizi mkavu niyaweze wapi, mie nataka kuulizwa tena kwa kubembelezwa naumwa nini.
mhhhh nina machungu mwenzio
unafurahia eeeee ujivwinjari hayo mazawadieeeee