Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,943
Tungejua unafiki wa binadamu!Moyo bwana, ungewekwa miguuni sijui ingekuwaje!
Kumbambikiza kitu gani?funguka mkuu,bado ujasomeka!Hadi sasa Wema kambakiza nani ...?
Moyo bwana, ungewekwa miguuni sijui ingekuwaje!
Teh teh teh!umenichekesha sana mkuu!Leo ungeamkia kwangu Lumo ndipo uende kazini..
Ni kweli mkuu,lakini kwa bahati mbaya wengine inatutia kichefuchefu!Hii nayo ni entertainment..!
Ni kweli mkuu,lakini kwa bahati mbaya wengine inatutia kichefuchefu!
Kaazi kwelikweli, mtoto kaamua alichopewa na Mungu bure asimnyime mwanaume akapata dhambi bure..!!
Imekuwa kama pipi kila anayeomba anapewa kiuraisi.Lakini anachofanya ni kujizaraulisha kwenye jamii ya Kitanzania!Kaazi kwelikweli, mtoto kaamua alichopewa na Mungu bure asimnyime mwanaume akapata dhambi bure..!!
Duu dada huyu maileji sasa inasoma km 1,000,000,akiwapanga wanaume toka dar wanafika chalinze
Hadi sasa Wema kambakiza nani ...?
Akiwapakia kwenye magari anajaza YUTONG tano.