Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Kama unauza simu nicheki tarehe hiyo tajwa hapo kwenye heading mwezi ujao kwa bei ya 2k (laki mbili)
Sifa za simu:
1.Iwe inakaa na chaji kuanzia masaa matano, chini ya hapo usinitafute.(muhimu)
2.Iwe na ukubwa wa screen kuanzia 5. chini ya hapo tutaangalia na aina ya simu.(muhimu)
3.Miongoni mwa makampuni haya mtapewa kipaumbele sony, Samsung, tecno(C8), Lumia
4.Isiwe na michubuko yoyote
5.Utoe na guarantee kama ikizingua nakurudishia
6.Isiwe imetumika zaidi ya miezi 6 zaidi ya hapo bettry itakuwa kimeo(muhimu)
kwa maelezo zaidi ya kufanya biashara nicheki kwa kunitumia sms kama ukipiga na usinipate hewani no. +255628066619 hallotel