QUALITY CARS
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 515
- 238
Najua ww huwezi kukubaliana na mm sababu unauza hii cheap brandy
Tecno is not the cheapest !!! Nataka ujue Hilo kwanza !!!
Brands kama itel na Viwa ndiyo unaweza kusema ndiyo cheapest
Najua ww huwezi kukubaliana na mm sababu unauza hii cheap brandy
Hapa balaa, mnunuzi ana masharti maana kapata pesa kwa shida, muuzaji naye ana bei yake maana anafahamu gharama alizotumia; mwisho wa siku mnunuzi itabidi ufuate muuzaji atakacho maana wewe ndio wahitaji zaidi. Punguza masharti bwana.Kama unauza simu nicheki tarehe hiyo tajwa hapo kwenye heading mwezi ujao kwa bei ya 2k (laki mbili)
Sifa za simu:
1.Iwe inakaa na chaji kuanzia masaa matano, chini ya hapo usinitafute.(muhimu)
2.Iwe na ukubwa wa screen kuanzia 5. chini ya hapo tutaangalia na aina ya simu.(muhimu)
3.Miongoni mwa makampuni haya mtapewa kipaumbele sony, Samsung, tecno(C8), Lumia
4.Isiwe na michubuko yoyote
5.Utoe na guarantee kama ikizingua nakurudishia
6.Isiwe imetumika zaidi ya miezi 6 zaidi ya hapo bettry itakuwa kimeo(muhimu)
kwa maelezo zaidi ya kufanya biashara nicheki kwa kunitumia sms kama ukipiga na usinipate hewani no. +255628066619 hallotel
Kwa hiyo Tecno sio original ??? Pasua mkubwa wewe !!! Simu huzijui alafu unaleta story hapa !!!
Hahahahaaa we jamaa unaandikaga comments zako as if uko chooni unaugulia kipindu pindu
Tecno is not the cheapest !!! Nataka ujue Hilo kwanza !!!
Brands kama itel na Viwa ndiyo unaweza kusema ndiyo cheapest
Hapa balaa, mnunuzi ana masharti maana kapata pesa kwa shida, muuzaji naye ana bei yake maana anafahamu gharama alizotumia; mwisho wa siku mnunuzi itabidi ufuate muuzaji atakacho maana wewe ndio wahitaji zaidi. Punguza masharti bwana.
Tecno ni mojawapo ya cheap phones , hazina added advantage yoyote ..
Kwa bei hiyo
Kwa brands za Sony, Samsung,Na Nokia
Kwa condition hizo ulizoweka
Simu hizo utazisikia Kwa wenzio tu wakiwa nazo.
Kwa bei hiyo
Kwa brands za Sony, Samsung,Na Nokia
Kwa condition hizo ulizoweka
Simu hizo utazisikia Kwa wenzio tu wakiwa nazo.
Mkuu inawezekana hujawahi kumiliki samsung, nyingi zilizopo mitaani ni za kichina (clone)Hakuna brand nisiyoipenda km Samsung. Nimewahi kuwa nazo kadhaa, tecno ni bora kuliko Samsung
Kwa hiyo Tecno sio original ??? Pasua mkubwa wewe !!! Simu huzijui alafu unaleta story hapa !!!
Hakuna brand nisiyoipenda km Samsung. Nimewahi kuwa nazo kadhaa, tecno ni bora kuliko Samsung
Nitajie processor ya tecno, alafu nitajie na processor ya samsung...then tujadili tofauti zake ni nini?
Pasua tu !!! Huna lolote !!! Samsung Ipo juu kwa quality !!! Lakini haimaanishi TECNO sio original because ni Chinese brand !!!
Xiaomi Mi karibuni itakuwa number 1 despite being Chinese brand
Tecno ni mojawapo ya cheap phones , hazina added advantage yoyote ..