Niuzie iPad air

Niuzie iPad air

Hujui unachoongea na kuandika..kaa kimya..ipad utafananishanna huo uchafu wa lenovo sijui ..mxxxxx

Kuwa na heshima unapojibu comment za watu.
Je nikuulize wewe umetumia ipad?
Mimi nimetumia ipad 2 na bado ninatumia hadi sasa na ndiyo maana naweza kumshauri huyu mtu hapo juu kuwa siyo best option kwa mtu kutumia
Sasa kama wewe unaona tofauti kwa nini usiandike comment yako mwenyewe kuelezea maoni yako?
Hili ni jukwaa, jifunze kuheshimu mawazo ya watu wengine hata kama yapo tofauti na yako. Siku njema
 
Sidhani kama unafahamu ninachozungumzia. And ofcourse sitegemei ukafahamu
Na hapana sikutaka simu kwa sababu ninayo simu tayari ya Samsung.

Haya ndiyo matatizo niliyokutana nayo
1. RAM ya ipad 2 ni ndogo sana na hii inasababisha ipad 2 kushindwa kuhimili prog nyingi kwa wakti mmoja. Mfano ukiwa unatumia Safari browser au app nyingne ina tabia ya kujifunga au utakuta kila ukihama page ukirudi ile ya mwanzo lazima ireload

2. Ugumu wa kupata apps zinazokidhi mahitaji kutoka itunes.
Nilitaka video downloader. Ilichukua muda sana
3. Flash player kwenye ipad 2 haipo na app zake mpaka ununue. Hivyo nashindwa kustream live events kitu ambacho ni kawaida kwa computer za kawaida
4. Uwezo wake wa kukamata internet ni mdogo sana.
Mimi nimetumia internet humu kwenye ipad ipo slow sana lakini line hiyo hiyo ukitether kutoka device nyingne au ukitumia kwenye device nyingne internet ni nzuri kabisa
5. Utumiaji wa micro chip ni changamoto pia
6. Huwezi kuingiza au kutoa file au kuhamisha kwenye ipad mpaka uwe na computer yenye itunes.
7. Huwezi kudownload file kawaida kwenye mtandao. Siku hizi kuna apps lakini sii nzuri sana
8. Ni ngumu kusoma mafile ya Microsoft. Siku hizi ndio wameweka apps chache appstore lakini sio za uhakika

Na nimemshauri hivyo kutokana na vitu vya kawaida ambavyo watu wengi hutaka kutumia

Halafu nashangaa kwa nini unaniambia sijui ninachotaka, wewe unajua ipad hii nimeipata wapi?
Kuwa na heshima unavyojibu comment za watu.
Siku njema

Hahahaha !! 😂😂 pointless ulichokisema hapo hakiendani kabisa na ipad 2. Na hiyo point namba 5 😂😂 imejieleza upo nyuma kiasi gani
 
Hakiendani ni ipad 2 kivipi?
Ni changamoto kwa wale tunaopenda kuweka bundle za internet na the fact kwamba sim card utakayotumia kwenye ipad huwez kutumia popote kwingne unless ni simu inayotumia microchip
 
Hahahaha !! 😂😂 pointless ulichokisema hapo hakiendani kabisa na ipad 2. Na hiyo point namba 5 😂😂 imejieleza upo nyuma kiasi gani

Naomba unielezee ipo pointless kivipi?
Umetumia ipad 2 na kuona tofauti?
Na tambua kwamba sizungumzii ipad 3 au version zilizokuja baadae. Na nashangaa unapata wapi audacity ya kusema hivyo wakati hii ni common problem kwa ipad 2 users. Ingia website ya apple user QnA usome matatizo uone kuwa watu wanakutana na matatixo haya haya niliyokutana nayo
 
If unataka poa nicheki 0685661790.
Inasumbua vitu hivi
1. Touch screen imepungua sensitivity. Na kuna wakati nikiwa natype kuna keys ukitap hazitoi herufi mpaka utype mara mbili tatu au zaidi
2. Ukiwa unatype unaweza ukaandika
e yenyewe inakuletea "eeeeeeee"
And ukitype herufi yenyewe inatype ya pembeni yake kwenye keyboard
3. Nikiwa naangalia movie au nipo kwenye browser utakuta inaanza kujizoom in and out yenyewe
4. Haya yote yanaondoka temporarily nikibonyeza power button na kurudi.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 imepungua sensivty? We sema tu ipad yako mbovu...
 
Ndiyo maana nimemwambia ipad 2 yangu ina matatizo siyo ya kumuuzia mtu.
Inasumbua na kwa kweli sidhani kama nipo tayari kuitengeneza coz it's likely kuwa bei kubwa.
Mwaka jana ilidondoka screen ikapata cracks. Kuchukua screen mpya ilikuwa laki na kitu.

Nimeona comments zako mkuu , Nimeona ni reply hii .....

solution ya hiyo iPad ni kununua ipad nyingine ambayo Ina iCloud lock then badilisha motherboard yako weka kwingine , ur problems will be solved , Kwa maelezo zaidi nipe pm Kwa cost n.k
 
Hiyo gharama yake sasa. Nimeamua kuchukua tablet nyingine mkuu!
 
Sidhani kama unafahamu ninachozungumzia. And ofcourse sitegemei ukafahamu
Na hapana sikutaka simu kwa sababu ninayo simu tayari ya Samsung.

Haya ndiyo matatizo niliyokutana nayo
1. RAM ya ipad 2 ni ndogo sana na hii inasababisha ipad 2 kushindwa kuhimili prog nyingi kwa wakti mmoja. Mfano ukiwa unatumia Safari browser au app nyingne ina tabia ya kujifunga au utakuta kila ukihama page ukirudi ile ya mwanzo lazima ireload

2. Ugumu wa kupata apps zinazokidhi mahitaji kutoka itunes.
Nilitaka video downloader. Ilichukua muda sana
3. Flash player kwenye ipad 2 haipo na app zake mpaka ununue. Hivyo nashindwa kustream live events kitu ambacho ni kawaida kwa computer za kawaida
4. Uwezo wake wa kukamata internet ni mdogo sana.
Mimi nimetumia internet humu kwenye ipad ipo slow sana lakini line hiyo hiyo ukitether kutoka device nyingne au ukitumia kwenye device nyingne internet ni nzuri kabisa
5. Utumiaji wa micro chip ni changamoto pia
6. Huwezi kuingiza au kutoa file au kuhamisha kwenye ipad mpaka uwe na computer yenye itunes.
7. Huwezi kudownload file kawaida kwenye mtandao. Siku hizi kuna apps lakini sii nzuri sana
8. Ni ngumu kusoma mafile ya Microsoft. Siku hizi ndio wameweka apps chache appstore lakini sio za uhakika

Na nimemshauri hivyo kutokana na vitu vya kawaida ambavyo watu wengi hutaka kutumia

Halafu nashangaa kwa nini unaniambia sijui ninachotaka, wewe unajua ipad hii nimeipata wapi?
Kuwa na heshima unavyojibu comment za watu.
Siku njema
i concur with You!
 
pengine walijua ww ni mkulima wa pale shinyanga hujui kitu chochote mkuu
 
gasgas inawezekana iPad uliyonayo ni half-original na ndio maana inakusumbua...Apple bidhaa zao ni nzuri sana. Nimesoma maelezo yako hapo nahisi kuna tatizo binafsi kwny hicho kifaa chako!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu gasgas, hakika upo vizuri sana na ni kweli version za nyuma za iPad zina problems nyingi na ni kweli zimekuwa kikwazo kwa watu kumeet their needs.

By the way, you impress the way u handle punches from the fool ones!
 
Last edited by a moderator:
iPad ni mwisho wa matatizo, natumia iPad air, kinachoniboa ni kitu kimoja bhaaaaaaaaasi uwezo wa kutokupiga simu! Otherwise iPad is the best tablet ever. Mwanzo wa kuitumia ni mgumu lakini ukishaizoea si mchezo utaiona utamu wake zaidi ya mcharo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom