Niuzie iPad air

Niuzie iPad air

mkalenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
290
Reaction score
23
Wakuu naitaji ipad air I we inachukua line kama unayo nichek kwa no. 0769 038 065
 
Wakuu naitaji aina ya ipad hiyo kama unayo nicheki fasta kwa no. 0769038065
 
Nahitaji used IPAD 2 or 3. My namber. 0769038065
 
Mimi nina ipad 2, used sema mimi mwenyewe inanisumbua Lol!
nashauri uchukue Samsung au lenovo. Ipad tena ipad 2 inamiss vitu vingi na kuna complicatons za hapa na pale
 
Hujui unachoongea na kuandika..kaa kimya..ipad utafananishanna huo uchafu wa lenovo sijui ..mxxxxx
 
Mimi nina ipad 2, used sema mimi mwenyewe inanisumbua Lol!
nashauri uchukue Samsung au lenovo. Ipad tena ipad 2 inamiss vitu vingi na kuna complicatons za hapa na pale

Sidhani kama ipad ina mapungufu , mtumiaji ndo ana mapungufu kwa kushindwa kujua anachokitaka, nahisi wewe ulihitaji simu siyo ipad . ipad ni kwa baadhi ya watu wanaojua wanataka nn na ki ukweli huwez kulinganisha hizo lenovo sijui vitu gani na ipad , ipad ndo benchmark ya tablets duniani ..
 
Mkuu asante sana, hajui alisemalo huyo...
 
Mimi nina ipad 2, used sema mimi mwenyewe inanisumbua Lol!
nashauri uchukue Samsung au lenovo. Ipad tena ipad 2 inamiss vitu vingi na kuna complicatons za hapa na pale

Niuzie hiyo inayo kusumbua
 
Sidhani kama ipad ina mapungufu , mtumiaji ndo ana mapungufu kwa kushindwa kujua anachokitaka, nahisi wewe ulihitaji simu siyo ipad . ipad ni kwa baadhi ya watu wanaojua wanataka nn na ki ukweli huwez kulinganisha hizo lenovo sijui vitu gani na ipad , ipad ndo benchmark ya tablets duniani ..

Sidhani kama unafahamu ninachozungumzia. And ofcourse sitegemei ukafahamu
Na hapana sikutaka simu kwa sababu ninayo simu tayari ya Samsung.

Haya ndiyo matatizo niliyokutana nayo
1. RAM ya ipad 2 ni ndogo sana na hii inasababisha ipad 2 kushindwa kuhimili prog nyingi kwa wakti mmoja. Mfano ukiwa unatumia Safari browser au app nyingne ina tabia ya kujifunga au utakuta kila ukihama page ukirudi ile ya mwanzo lazima ireload

2. Ugumu wa kupata apps zinazokidhi mahitaji kutoka itunes.
Nilitaka video downloader. Ilichukua muda sana
3. Flash player kwenye ipad 2 haipo na app zake mpaka ununue. Hivyo nashindwa kustream live events kitu ambacho ni kawaida kwa computer za kawaida
4. Uwezo wake wa kukamata internet ni mdogo sana.
Mimi nimetumia internet humu kwenye ipad ipo slow sana lakini line hiyo hiyo ukitether kutoka device nyingne au ukitumia kwenye device nyingne internet ni nzuri kabisa
5. Utumiaji wa micro chip ni changamoto pia
6. Huwezi kuingiza au kutoa file au kuhamisha kwenye ipad mpaka uwe na computer yenye itunes.
7. Huwezi kudownload file kawaida kwenye mtandao. Siku hizi kuna apps lakini sii nzuri sana
8. Ni ngumu kusoma mafile ya Microsoft. Siku hizi ndio wameweka apps chache appstore lakini sio za uhakika

Na nimemshauri hivyo kutokana na vitu vya kawaida ambavyo watu wengi hutaka kutumia

Halafu nashangaa kwa nini unaniambia sijui ninachotaka, wewe unajua ipad hii nimeipata wapi?
Kuwa na heshima unavyojibu comment za watu.
Siku njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom