Niuzie huawei ascend y300/530

Niuzie huawei ascend y300/530

Ahaaa musije mkauziana vitu vibovu alafu mkaja kulalamika muwe makiniii
 
Wakuu bado sijapata simu hizo pendwa hapo juu, so kama vp mnicheck
 
Huawei y530 npe 150k, INA support line zote.. 0714363620
 
Kwa huduma ya ku unlock network za simu za nje ya nchi kama iPhone, blackbery, SONY, HUAWEI, SAMSUNG nk.

contact me 0656181940 au
website www.bestunlocksolution.com

 
samsung galaxy note 1 brand new (very small crack,haisumbui touch)350 negotiable. 0799363620
 
Ninayo Huawei y530. Brand new na ina waranty mwaka mmoja. Tshs 250000/=
 
Niuzie kati ya hizi simu. Whatsapp no. 0714001946

Hiyo laki uliyonayo ukiongeza 30,000 unaweza pata simu ya aina hiyo mpya, unakuwa na uwakika wa simu yenyewe na kiusalama. Nakushauri nenda dukani. Pale isipobidi tujifunze kwenda dukani rafiki.
 
Uzi wa zamani huu sijui nani kaufufua kuleta balaa humu ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom