lawyerrr
Member
- Jun 20, 2017
- 66
- 60
Asalam alaykum ndugu zangu,
Narudi tena baada ya kutopata mafanikio katika uzi wa kwanza.
Bila kuathiri maelezo katika kichwa cha habari hapo juu.
Nahitaji kununua gari kwaajili ya abiria.Gari iwe nzima na iwe haina deni lolote, pia iwe haijarudiwa rangi wala kuwahi kugonga sehemu.Kwa kuzingatia masharti yaliopo kwenye aya ya pili ya Uzi huu, ofa yangu ni shilingi milioni tisa.
Weka gari na bei yako, nikiridhika na gari yako nitakupm kisha tubadilishane namba na hatua zingine zifuate.
Shukrani