impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,838
- 7,891
Gari ya maana sana crown A ila kwa bei hiyo ya 8/9 ni ngumu maana siyo gari ya kimaskiniahsante sana kiongozi
Naamini itapatikana ...msimu wa sikukuu huu.sina haraka as long as pesa ipo.
Gari ya maana sana crown A ila kwa bei hiyo ya 8/9 ni ngumu maana siyo gari ya kimaskiniahsante sana kiongozi
Naamini itapatikana ...msimu wa sikukuu huu.sina haraka as long as pesa ipo.
Mkazie huyo 8.5 atakupa tu maana pesa yenyewe imekuwa ngumuAhsante kwa kunipa Moyo.
Ikifka january katikati ndio ntabadili matumizi ya hiyo pesa lakini kwa sasa 8.5mil ipo Kabatini.sina haraka nalo kiongozi.
mpaka sasa kuna mmoja kagota 9.5mil namba DL...