Niuzie Crown Athlete 7.8mil

Niuzie Crown Athlete 7.8mil

MC7

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2016
Posts
592
Reaction score
491
Nahitaji Crown Athlete namba D ya kuanzia mwaka 2005.
Pesa ya kununua/kulipia ninayo.
Bajeti yangu ni Tzs milioni 7.8.muda wowote wasiliana nami
Whatsap 0738439308...
Au nitumie ujumbe a.k.a niPm
images-25.jpeg
images-10.jpeg
images-33.jpeg
images-11.jpeg
 
Kwa bei hyo utapata ambayo ishachoka sana,,ukitaka iliyosimama vizuri ni kwanzia 12M
 
Kwa hiyo bei hupati unachokitaka man
 
Mkuu hiyo chini ya 10m si rahisi kupata.
Ni classic na semi luxury saloon car.
Ukizingatia hazijazagaa sana mtaani.
Andaa 12m kwa number D
 
Mkuu hiyo chini ya 10m si rahisi kupata.
Ni classic na semi luxury saloon car.
Ukizingatia hazijazagaa sana mtaani.
Andaa 12m kwa number D
Ahsante kwa ushauri.
8.5mil ipo na uzuri sina haraka na gari.naweza kununua aina nyingine ikinibidi.kwa sasa nahitaji iyo Athlete.
kama unayo,karibu whatsp
 
Ahsante kwa ushauri.
8.5mil ipo na uzuri sina haraka na gari.naweza kununua aina nyingine ikinibidi.kwa sasa nahitaji iyo Athlete.
kama unayo,karibu whatsp
OK..mkuu nisikukatishe tamaa pambana,
Ila kwa experience yangu ndogo ya masuala ya magari sijawahi ona crown athletes inauzwa kwa bei chini ya 12m, labda crown royal saloon unaweza pata hata kwa 11-10m
Nadhan kwa kuwa hata wanaomiliki wako katika uchumi mzuri (welfares)
Hata akifulia hawezi uza kwa bei ya kutupa kiasi hicho.
Kwa hiyo offer ungecheki upande wa gari kama BREVIS, PREMIO nadhan ungeweza kupata zilizo vizuri zaidi.
IMG-20181201-WA0048.jpeg
 
View attachment 952722
ahsante sana kiongozi
Naamini itapatikana ...msimu wa sikukuu huu.sina haraka as long as pesa ipo.
 
ahsante sana kiongozi
Naamini itapatikana ...msimu wa sikukuu huu.sina haraka as long as pesa ipo.
Mkuu hilo gari nina uhakika kwamba kati ya Disemba na January 2019 utalipata maana hapo watu vyuma vitawabana tu
 
Mkuu hilo gari nina uhakika kwamba kati ya Disemba na January 2019 utalipata maana hapo watu vyuma vitawabana tu
Ahsante kwa kunipa Moyo.
Ikifka january katikati ndio ntabadili matumizi ya hiyo pesa lakini kwa sasa 8.5mil ipo Kabatini.sina haraka nalo kiongozi.
mpaka sasa kuna mmoja kagota 9.5mil namba DL...
 
Mkuu hio gari wese la 65,000 unatembea 200KM mbona hapo ni fresh kwa misele plus A/C na foleni, maana yenyewe ni 1L = 7.87KM
Mafuta sio kizingiti kabisa.labda ziwepo sababu nyingine.
 
Back
Top Bottom