jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,293
Una 1mil nikuuzie chainsaw. Imetumika kidogo.Wanajamvi kwema?
Katika harakati zangu za kupambana na maisha nimejichanga changa sana mpaka nimepata vijisenti vya kununua shamba mkoani.
Shamba nililonunua linahitaji usafi wa hali ya juu kabla ya kujikita kwenye kilimo rasmi.
Nahitaji chainsaw kwa ajili ya kukatia ile miti mikubwa mikubwa nahisi hii itarahisisha sana na kupunguza gharama pia.
Sasa kwa mwenye na hii kitu awe anaitumia au haitumii tunaweza kuongea napendelea zaidi kukodisha ila pia ikipatikana used ya kununua sio mbaya
Kingine najua kama zipo madukani ila kwa ugumu huu wa maisha usinishauri hilo
mkuu kwa maeneo ya kule mkoani lilipo shamba ni ngumu sana kupata kwani bado pako local wanasafisha kwa mikonoHatua nzuri sana mkuu, ulizia wenyeji waliopo karibu watakusaidia zaidi na kwa ufasaha
Nichek tukubaliane nikupatie yangu ukafanye kaziWanajamvi kwema?
Katika harakati zangu za kupambana na maisha nimejichanga changa sana mpaka nimepata vijisenti vya kununua shamba mkoani.
Shamba nililonunua linahitaji usafi wa hali ya juu kabla ya kujikita kwenye kilimo rasmi.
Nahitaji chainsaw kwa ajili ya kukatia ile miti mikubwa mikubwa nahisi hii itarahisisha sana na kupunguza gharama pia.
Sasa kwa mwenye na hii kitu awe anaitumia au haitumii tunaweza kuongea napendelea zaidi kukodisha ila pia ikipatikana used ya kununua sio mbaya
Kingine najua kama zipo madukani ila kwa ugumu huu wa maisha usinishauri hilo
Nicheck nikupatie combo ukafanye kazi mkuu
0714775566
0683775566
Nitakucheki mkuu unapatikana pande gani?Nicheck nikupatie combo ukafanye kazi mkuu
0714775566
0683775566
Huko kote sipoKama upo Iringa fika hapo Saho Hill
Kwa Arusha fika chuo cha misitu Olmotonyi
Endelea hivyo hivyo mkuu utatunukiwa tuzo ya nobel ya mazingira,Mungu wangu, na hali hii bado kuna Watu mnafikiria kukata tena miti.
Sio kwamba hii iliyopo itunusuru na tujitahidi kupanda mingine?
Acha uzalendo wa kijinga mkuuMungu wangu, na hali hii bado kuna Watu mnafikiria kukata tena miti.
Sio kwamba hii iliyopo itunusuru na tujitahidi kupanda mingine?
Mkaa imepigwa marukufuMkuu shamba liko pande zipi hiyo miti tuongee nichome mkaa.
Mcheki KISIMA mkuu inbox yuko TURIANI ila anaweza fika hadi huko popoteEndelea hivyo hivyo mkuu utatunukiwa tuzo ya nobel ya mazingira,
Next time usimhusishe Mungu kwenye mawazo kama hayo.
Shamba lipo songea mkuuMkuu shamba liko pande zipi hiyo miti tuongee nichome mkaa.
Pamoja boss ntamcheki.mtafute mzee James hapa darajan white pub kinyerez atakuapa