jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,293
Wanajamvi kwema?
Katika harakati zangu za kupambana na maisha nimejichanga changa sana mpaka nimepata vijisenti vya kununua shamba mkoani.
Shamba nililonunua linahitaji usafi wa hali ya juu kabla ya kujikita kwenye kilimo rasmi.
Nahitaji chainsaw kwa ajili ya kukatia ile miti mikubwa mikubwa nahisi hii itarahisisha sana na kupunguza gharama pia.
Sasa kwa mwenye na hii kitu awe anaitumia au haitumii tunaweza kuongea napendelea zaidi kukodisha ila pia ikipatikana used ya kununua sio mbaya
Kingine najua kama zipo madukani ila kwa ugumu huu wa maisha usinishauri hilo