Mwambie una ngoma...
Tulikuwa na kawaida ya kupima, bahati mbaya ananijua Sana kiundani ndomana nakosa njia za kumuepuka.
Abeee, ushauri tafadhari nimeyakoroga.
Wewe unahitaji maombi
ni kama wewe ndo ambae hujiwezi kwake
unausemea moyo wa mwenzio huku wa kwako uko hoi pia juu yake
Hahahahah angelita wewe ni mtoto?!Sikatai chembe chembe zakumpenda zilianza ndio sababu kuu ya kukata mawasiliano, niliogopa kuzama pasipo na future, mwenzangu naye yu taabani na sasa yupo ndoani nafanyaje kunusuru ndoa yake????
Mmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhh! Woooo! Woooo! Wooooooooo! Shouldnt you be slowing down a bit?????????? You are not even 23 for crying out loud. Call me OLD SCHOOL but this is serious.
ON SECOND THOUGHTS
IF A MAN HAS 2 WOMEN, THEN HE HAS TO CHOOSE ONE HE SHOULD CHOOSE THE SECOND, BECAUSE IF HE REALLY LOVED THE FIRST HE WOULDN'T GET INVOLVED WITH THE SECOND. - Johnny Deep.
Sikiliza wewe Angelita mume wa mtu ukimpata jivinjari, hana mpango na wewe jivinjariii, anakudanganya wewe jivinjariiiiiiiii. KAMA MUME WA MTU SUMU MBONA PANYA HAIUI?
Loooohl lara 1 kwaiyo niwe nao wawili???? Naitaji single mwenzangu nami nifurahie maisha.
Hahahahah angelita wewe ni mtoto?!
Usijidanganywe mwaya, huyo jamaa is just taking advantage of you. Hakuna cha kuwa taaban wala nini. I mean think about it, mmekutana akiwa na mchumba, mkawa pamoja na akakolea kweli kweli lakini recently ameamua kumuoa huyo aliyekuwa anajuta kuna na commitment nae?! We unaona nini hapo?!
Kama angekuwa hoi,taaban or whatever he tells you aingemuoa huyo aliyemuoa bali angekuoa wewe. Sababu ya kumuoa aliyemuoa ni kwamba ANAOGOPA KUMPOTEZA ila wewe hana wasiwasi na wewe hata kidogo. Na ndio maana wewe unajua kuhusu mwenzio na anakutumia apendavyo bila kuwa na future na wewe wakati mwenzio ana-treat-iwa delicately.
Fungua macho uone kisha utafute maisha yako mwenyewe. Huyo mwanaume anakuona wewe ni ----- na anajua huna ujanja juu yake. Wewe ndo uko taaban, amka mama utafute na wewe wa kukufia mpaka atake kuji-commit kwako na sio kwa mwenzio.
Hmmmm lara1 ....whose lies are we talking about now?!Mine,his or hers?!