habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,739
jinsia yake inahusiana niniWewe ni jinsia gani Mkuu

Nimekutumia namba yake kwenye pm... Mcheki whatsappMkuu email imekataa: undelivered.
dah we dada kilaza sana, kipi hujaelewa hapo
Google utapata contact zake mpk no na address anapoishi.wahiMie ni kijana wa jinsia ya kiume mkuu.
hahaaaa mie kichwa changu ni hapo kimegota.
yupo Sweden au alikuwepo akarudi?
KM una kibali cha kuishi humo fungua mgahawa wako mweyewe mkuu,
Nchi nyingi za ulaya huhitaji capital kuanzisha biashara yako,kuna scheme nyingi zinazotoa grants ama loans.
Becky naona leo kusoma na kuelewa ni mgogoro eeh?
Msemo wako unahitaji m2 mwenye uelewa mkubwa ndo aelewe, so sad.. Stay strong life is a real struggle... Milima na mabonde tambarare ni chache
Nimekutumia namba yake kwenye pm... Mcheki whatsapp
Wakuu,
Mimi ni msomi wa ngazi ya Diploma; Hotel Management & Catering na nina uzoefu wa miaka 4. Naombeni kwa yeyote anayemfahamu au mwenye mawasiliano na yule Mtanzania mwenzangu aliye fungua Mgahawa/Restaurant nchini Sweden niende nikawe hata Muosha vyombo maana nimehangaika sana sipati kazi japo nina sifa zote za kuajiriwa.
Nimekuwa nakula kwa kuunga unga kwa rafiki yangu ambaye ni mpishi wa Hoteli flani, ananiibia chakula na kunipitishia nyumbani. Hali imekuwa ngumu nikauza simu ambapo hela imeishia kwenye kutoa copy za Vyeti na Nauli za kuwasilishia maombi ya kazi bila mafanikio. Imebidi nije Internet cafe niwaandikieni, kama unamfahamu yule Mtanzania basi niunganishe nae. Nina ile Passport ndogo lakini ntajitahidi nipate kubwa lakini sina hata elfu 5 ya kunilinda linda aisee.
Najitahidi kuwa positive na kujikaza lakini kuna wakati nalia maana kila ninaemwelezea ananiambia kila mtu ana hali mbaya. Sasa leo nikapata wazo kwamba yule mtanzania wa Sweden anaweza kunisaidia. Please niPM...Niunganisheni nae jamani.
pole sana mkuu,ila neno la kufariji,hauko peke yako,lol.
Shukrani Mkuu.... Daaah Inasikitisha sana basi tu...Tatiana, safi sana Mkuu. Continue being helpful to people in need.
Umempa pa kuanzia. Kazi kwake sasa kuji-link yeye mwenyewe kwa mhusika. Ajue tu kujieleza.
-Kaveli-
Shukrani Mkuu.... Daaah Inasikitisha sana basi tu...
Mkuu kuna kitu nimekuuliza PM, nasubiri jibu lakoWakuu,
Mimi ni msomi wa ngazi ya Diploma; Hotel Management & Catering na nina uzoefu wa miaka 4. Naombeni kwa yeyote anayemfahamu au mwenye mawasiliano na yule Mtanzania mwenzangu aliye fungua Mgahawa/Restaurant nchini Sweden niende nikawe hata Muosha vyombo maana nimehangaika sana sipati kazi japo nina sifa zote za kuajiriwa.
Nimekuwa nakula kwa kuunga unga kwa rafiki yangu ambaye ni mpishi wa Hoteli flani, ananiibia chakula na kunipitishia nyumbani. Hali imekuwa ngumu nikauza simu ambapo hela imeishia kwenye kutoa copy za Vyeti na Nauli za kuwasilishia maombi ya kazi bila mafanikio. Imebidi nije Internet cafe niwaandikieni, kama unamfahamu yule Mtanzania basi niunganishe nae. Nina ile Passport ndogo lakini ntajitahidi nipate kubwa lakini sina hata elfu 5 ya kunilinda linda aisee.
Najitahidi kuwa positive na kujikaza lakini kuna wakati nalia maana kila ninaemwelezea ananiambia kila mtu ana hali mbaya. Sasa leo nikapata wazo kwamba yule mtanzania wa Sweden anaweza kunisaidia. Please niPM...Niunganisheni nae jamani.
Pole sana ndugu...Wakuu,