Unajua kwa nini binadamu kuna mrefu, mfupi mwembamba na mrefu na why kuna mwanamke na mwanaume?bila shaka ww ulisoma insurance
vilaza wa chuo
mkuu nimechafukwa poor you hata mimi wakati nasoma hapo watu wa coz zingine nilikua nawaona vilaza kama wewe unavyowaona!!!!!!!unataka kujua cv yangu???ntakupm cv yangu ikupe challenge kidogo....kwa ufupi tu nimesoma adv diploma in accountancy kama unayosoma wewe hapo on top of that nina msc account & finance ........natoa ushauri tu kwa wadogo zangu wasije kufata mkondo niliopita mimi...nakuhakikishia tu na brchl yako utasota sana mtaani kazi za acc siku izi hakuna,hao unao waona vilaza wa chuo utakuja kuona tofauti yao na wewe ukija kazini!!utakuja nikumbuka,matarajio ulionayo mdogo wangu ni makubwa kuliko utakachopata ....
swali lako halina maana litakusaidia nn...waachie wanaotaka kujiunga na IFM waulize maswali Ya msingi
Unajua kwa nini binadamu kuna mrefu, mfupi mwembamba na mrefu na why kuna mwanamke na mwanaume?
Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba wote katika size moja, rangi moja na jinsia moja lkn jwa sbb kila mmoja anamtegemea mwenzie ndio maana kukawa.na variety ya uumbaji.
Katika kuhitimu kwako jitahifi uhitimu Busara, Hekima na nidhamu.
Kama una akili utaelewa namaanisha nini kifupu ni kuwa hata hiyo accounts unayosoma ina exist kwenye idara nyinginebjwa sababu tu ya kuwapi kwa zile idara.
Mfano pale Muhimbili, Key duty pale ni tiba, je wewe ni daktari kuwapo pale?
Ngoja umalize urudi mtaani utapata akili utakumbuka hilo bumu na hutakuwa na uwezo wa kulipata tena.

Umesema ulidisko mwaka gani???
Hivi kwanini ifm wanaanza wengi wanamaliza wachache mkuu? Ni jweluifm ni mabitozi..
Ngoja waje kukupa MuongozoJamn nimekuw na hofu nimechaguliwa ifm faculty ya social protection sasa sjh is it marketable
Vp hiii kozi ya Acturial science na marketable yakemm ni mwanafunz wa mwaka wa 3 Ifm..nasoma BAC(BACHELOR OF ACCOUNTANCY)
actuarial science ni koz nzr na inasoko pia kwa saiv rakn kidogo inataka usiwe na mamb meng sanaVp hiii kozi ya Acturial science na marketable yake
Ifm hamna hiyo cozactuarial science ni koz nzr na inasoko pia kwa saiv rakn kidogo inataka usiwe na mamb meng sana