Haya ntakayokuambia Sina maana Kwamba yana thamani kubwa kuliko diamond na gold, la hasha.
Mfano, Mchuchuma na Liganga kuna deposit kubwa sana ya 'iron', ila uzalishaji wake to the fullest bado unasusasua. Hii ni kutokana na 'complexity in its mineralogy', hivyo kuhitaji utaalamu na technology ya juu zaidi kui-process kupata 'iron' iliyo safi. That's where it comes to cost-benefit ratio.
Pia kuna Manganese 'Mn', haya mara nyingi hupatikana in deep ocean as nodules, and in fact No country owns deep oceans. Technically ni eneo lisilomilikiwa na nchi yoyote, hivyo no one has a right ya kuya-extract. Lakini pia, gharama ya kuyatoa kutoka deep ocean, kuya-process ili yatumike is far way expensive compared na kutumia mbadala wake.
Pia kuna Uraniaum, as tunavyojua haya ni radioactive materials hivyo huhitaji extra safety precautions. So nchi au mamlaka inaweza kuzuia it's extraction until all requirements zitakapokua tayari kwa ajili ya hiyo process kuendelea. Hii ni for the case ya 'Kupatikana kwa madini, lakini kuyachimba kuwa ngumu'
I think nimejitahidi kwa uwezo wangu, I stand to be corrected if kuna sehemu nimekosea.