Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

kilimo2bora

Member
Joined
Sep 27, 2017
Messages
18
Points
45

kilimo2bora

Member
Joined Sep 27, 2017
18 45
Huku kwtu mtaa Wa toangoma kunamambo yanatutatiza hapa serekali ya mtaa kuna watu wawili wanafanyakazi katika ofisi ya afisa mtendaji Wa mtaa kama wajumbe. Ilhali awakuchaguliwa ,wanaingia mikataba ,wanagonga mihuri huku wahusika wapo tumehoji tunajibiwa hayawahusu wakati mtaani matapeli Wa viwanja wanazingua sijui tuchukue hatua gani
 

Felsic

Senior Member
Joined
Jul 14, 2014
Messages
137
Points
250

Felsic

Senior Member
Joined Jul 14, 2014
137 250
Je, kuna aina yoyote Ya madini ambayo ni yanasadikika kuwa na thamani kuliko almasi na dhahabu lakini hayajawahi kuchimbwa wala kupatikana mahali popote???
'Hayajawahi kuchimbwa au kupatikana mahali popote'

Sijkuelewa hapo juu Mkuu, like bado hayajagunduliwa au yamegunduliwa lakini hayajachimbwa bado?
Unaweza kunielewesha zaidii ili nikueleweshe.
 

Felsic

Senior Member
Joined
Jul 14, 2014
Messages
137
Points
250

Felsic

Senior Member
Joined Jul 14, 2014
137 250
Ambayo yalishagunduliwa lakini bado hayajachimbwa
Yenye thamani kunywa kuliko diamond na gold Sina uhakika.

Ila kwa ninavyojua, ili yasichimbwe ni either 'extraction and processing' yake ni complicated due to its mineralogy, thus cost-benefit ratio kuwa kubwa' au it's side effect ni kubwa zaidi thus kukatazwa na national au international regulations.
 

Unbounced

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
317
Points
500

Unbounced

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
317 500
Yenyewe thamani kunywa kuliko diamond na gold Sina uhakika.

Ila kwa ninavyojua, ili yasichimbwe ni either 'extraction and processing yake ni complicated due to its mineralogy, thus cost-benefit ratio ni kubwa' au it's side effect ni kubwa zaidi thus kukatazwa na international regulations.
vema ni yapi hayo??
 

Felsic

Senior Member
Joined
Jul 14, 2014
Messages
137
Points
250

Felsic

Senior Member
Joined Jul 14, 2014
137 250
vema ni yapi hayo??
Haya ntakayokuambia Sina maana Kwamba yana thamani kubwa kuliko diamond na gold, la hasha.

Mfano, Mchuchuma na Liganga kuna deposit kubwa sana ya 'iron', ila uzalishaji wake to the fullest bado unasusasua. Hii ni kutokana na 'complexity in its mineralogy', hivyo kuhitaji utaalamu na technology ya juu zaidi kui-process kupata 'iron' iliyo safi. That's where it comes to cost-benefit ratio.

Pia kuna Manganese 'Mn', haya mara nyingi hupatikana in deep ocean as nodules, and in fact No country owns deep oceans. Technically ni eneo lisilomilikiwa na nchi yoyote, hivyo no one has a right ya kuya-extract. Lakini pia, gharama ya kuyatoa kutoka deep ocean, kuya-process ili yatumike is far way expensive compared na kutumia mbadala wake.

Pia kuna Uraniaum, as tunavyojua haya ni radioactive materials hivyo huhitaji extra safety precautions. So nchi au mamlaka inaweza kuzuia it's extraction until all requirements zitakapokua tayari kwa ajili ya hiyo process kuendelea. Hii ni for the case ya 'Kupatikana kwa madini, lakini kuyachimba kuwa ngumu'

I think nimejitahidi kwa uwezo wangu, I stand to be corrected if kuna sehemu nimekosea.
 

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
10,271
Points
2,000

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
10,271 2,000
Ni viashiria gani naweza kuviona vikaniwezesha kutambua aina yoyote ile ya madini katika maeneo yanayo nizunguka?,mfano labda nikiona mbuyu nijue probably pana gesi or Tanzanite bila kutumia mavifaaa
Ni ngumu kwa macho, huwa tunatumia historia ya jiolojia ktk eneo husika. Kwa mfano gold kwa historia ya kijiolojia huwezi ipata mikoa kama dsm au mtwara.

Hivyo ata wakati wa kwenda na vifaa kuna makablasha lazima yapitiwe kuhusiana na eneo husika.

Kutumia mimea kuna baadhi ya mimea inatumika hasa kwa madini ya kopa. Jina pa huo mmea limenitoka.

Hivyo ni mhimu sana kuwa na taarifa za eneo husika, kwasababu hayo mambo yote ni pesa, huwezi ukaiambia kampuni ikupe pesa eti unataka te dhahabu dsm utafukuzwa kazi hapo hapo
 

Forum statistics

Threads 1,382,405
Members 526,366
Posts 33,827,461
Top