Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Hayajawahi kuchimbwa au kupatikana mahali popote'Je, kuna aina yoyote Ya madini ambayo ni yanasadikika kuwa na thamani kuliko almasi na dhahabu lakini hayajawahi kuchimbwa wala kupatikana mahali popote???
Teknolojia inakua maybe some days to come yanaweza kugundulika.Je, kuna aina yoyote Ya madini ambayo ni yanasadikika kuwa na thamani kuliko almasi na dhahabu lakini hayajawahi kuchimbwa wala kupatikana mahali popote???
Ambayo yalishagunduliwa lakini bado hayajachimbwa'Hayajawahi kuchimbwa au kupatikana mahali popote'
Sijkuelewa hapo juu Mkuu, like bado hayajagunduliwa au yamegunduliwa lakini hayajachimbwa bado?
Unaweza kunielewesha zaidii ili nikueleweshe.
Yenye thamani kunywa kuliko diamond na gold Sina uhakika.Ambayo yalishagunduliwa lakini bado hayajachimbwa
vema ni yapi hayo??Yenyewe thamani kunywa kuliko diamond na gold Sina uhakika.
Ila kwa ninavyojua, ili yasichimbwe ni either 'extraction and processing yake ni complicated due to its mineralogy, thus cost-benefit ratio ni kubwa' au it's side effect ni kubwa zaidi thus kukatazwa na international regulations.
Haya ntakayokuambia Sina maana Kwamba yana thamani kubwa kuliko diamond na gold, la hasha.vema ni yapi hayo??
Unaweza, mfano geology ya udom.Ukisoma EGM unaweza kuwa geologist
Ni ngumu kwa macho, huwa tunatumia historia ya jiolojia ktk eneo husika. Kwa mfano gold kwa historia ya kijiolojia huwezi ipata mikoa kama dsm au mtwara.Ni viashiria gani naweza kuviona vikaniwezesha kutambua aina yoyote ile ya madini katika maeneo yanayo nizunguka?,mfano labda nikiona mbuyu nijue probably pana gesi or Tanzanite bila kutumia mavifaaa
Brown field Eneo lililokwisha fanyiwa utafiti lkn bado utafiti unaweza kufanyika tena.mzee naitaji kujua whats is brown field exploration
Unaelim gani?Nataka nijifunzi kuhusu miamba na madini. Naomba msaada wako tafadhani.
Most likelyWanachukua hata ukiwa na PCM