Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

  • "Ni kitu gani cha ajabu zaidi ambacho umewahi kula kwa sababu ya changamoto?"
  • "Ikiwa ungekua shujaa, udhaifu wako mkubwa zaidi ungekuwa upi?"
  • "Ni mzaha/utani gani wa kuchekesha zaidi unaujua kwa akili?"
  • "Kama ungeweza kula chakula kimoja tu kwa maisha yako yote, ni chakula kipi ungekichagua?"
  • "Ni tukio gani la aibu zaidi kutoka utotoni mwako?"
  • "Ni jina gani la ajabu zaidi ulilowahi kuwa nalo?"
  • Kama ungeweza kuishi sehemu yeyote katika hii dunia ungetamani kuishi wapi na kwa nini? Na kama sivyo, kwanini unataka kubaki uliko?
 
Naomba nikujibu kesho mapema
Kwa sasa naingia kazini kuandaa vitambaa vya batiki.
Asante
 
Kwa nini isiwezekane kupata mtoto? Hujafikiria kufanya IVF, au mdogo wako kukuzalia mtoto wako?
hyo ivf atafanyeje wakat hana mji wa mimba kwa maelezo yake, labda option ya pili ya sarrogace ila nayo naona changamoto kwani kasema haingii tena hedhi, yai la kurutubisha litatoka wapi kama anataka mtoto awe na vinasaba vyake. haya maisha sometimes acha tu.
 
Hii elimu bado sijaipata wala kuijua kwa kina zaidi.
Nina hutaji kuelimishwa zaidi
surrogace ni kwamba, yai lako na mbegu za mwanaume vinapandikizwa kwa mwanamke mwingine kwa makubaliano kwamba mtoto atakayezaliwa atakuwa ni wenu/wako, ishu ni kwamba huyo atakayepandikizwa atahitaji umlipe na katika kpndi chote cha ujauzito utamuhudumia kwa kila kitu, atakayebeba mimba kwa niaba yako ndo anaitwa surrogate mother ila mtoto anakuwa ni wako na hana vinasaba na mtoto maana ni kizazi chake tu kitatumika baaasi, kwa vile umesema huingii hedhini naona changamoto nyingine kama utataka mtoto awe na vinasaba vyako, yai la kurutubisha litatoka wapi sasa.
 
So sad!
Siingii hedhi ndio.
Nilishaambiwa kuwa kama nataka hivo angalau ningepata damu kutoka kwenye yai lililopevuka
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250306-183123_1.jpg
    300.2 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…