Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

Nusratt

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
1,707
Reaction score
4,193
Leo Nusratt Mohammed nimepata nafasi kuliko siku zote tangu nimejiunga humu JF (Jamii Africa).

Hivyo basi kutokana na jambo hili natoa nafasi kwa member yeyote aliyepo MMU:-
Kuniuliza Swali,
Kunikosoa kwa lolote,
Kunishauri Chochote,
Kunipongeza kwa lolote.

ILA:
Maswali yasiyo na tija na yasiyo na mrengo wa MMU sitayajibu,

Maswali yatakayodhalilisha jukwaa sitayajibu,

Maswali ya kipumbavu na ya kipuuzi sitayajibu,

Maswali yaliyo nje ya uwezo wangu pia sitayajibu.

Kuna wale walio kwenye ignore list yangu, hao nao sitaweza kujibu maswali yao (wanajijua)

Nipongezeni, nishaurini, nikosoeni ili niweze kujirekebisha maana kuna watu humu wana hasira sana na mimi wakati sijawakosea lolote.

Najua kama nchi tunapitia kipindi kigumu sana nyakati hizi, ila tunaomba tuvumiliane tu wapendwa.

Mimi nawapenda sana wanajukwaa wa JF (JA)
Allah aendelee kutusimamia katika mapambano ya utafutaji wa riziki zetu.

Jioni njema.

Screenshot_20250422_141201_Instagram.jpg
 
Wabillahi Tawfiq
Jioni njema.
kwamba upo live...OKE. endelea.!
 
Una lipi la kuwashauri watoto wa kike ambao wanajiuza kama madadapoa kwa mgongo wa ugumu wa maisha?
Unajua hakuna aliyezaliwa na akili ya kujua lipi jema na lipi baya na vilevile katika utafutaji wa maisha kuna mengi hutokea pasi na wewe kujua.

Ushauri wangu ni kwamba watambue magonjwa yapoa.
Unajua madadapoa hudhani hii kazi ni ya haraka katika upataji wa pesa ila ina riski kubwa sana.

Huko nilikuwepo ila nilipambana kutoka kwa kuwa inadhalilisha sana utu.
Nawashauri watafute biashara za kufanya hata zenye mitaji midogo.

Waanze na walichokuwa nacho
 
Leo Nusratt Mohammed nimepata nafasi kuliko siku zote tangu nimejiunga humu JF (Jamii Africa).

Hivyo basi kutokana na jambo hili natoa nafasi kwa member yeyote aliyepo MMU:-
Kuniuliza Swali,
Kunikosoa kwa lolote,
Kunishauri Chochote,
Kunipongeza kwa lolote.

ILA:
Maswali yasiyo na tija na yasiyo na mrengo wa MMU sitayajibu,

Maswali yatakayodhalilisha jukwaa sitayajibu,

Maswali ya kipumbavu na ya kipuuzi sitayajibu,

Maswali yaliyo nje ya uwezo wangu pia sitayajibu.

Kuna wale walio kwenye ignore list yangu, hao nao sitaweza kujibu maswali yao (wanajijua)

Nipongezeni, nishaurini, nikosoeni ili niweze kujirekebisha maana kuna watu humu wana hasira sana na mimi wakati sijawakosea lolote.

Najua kama nchi tunapitia kipindi kigumu sana nyakati hizi, ila tunaomba tuvumiliane tu wapendwa.

Mimi nawapenda sana wanajukwaa wa JF (JA)
Allah aendelee kutusimamia katika mapambano ya utafutaji wa riziki zetu.

Jioni njema.

View attachment 3315319
Swali langu ni hili: Je, ni vizuri wanandoa kuachia ushuzi kwa kujiachia wawapo nyumbani? Nasema kuhusu ile hali ya watu kujiachia bila kujali muda wowote na sehemu yoyote wawapo wawili.
 
Back
Top Bottom