kwa kuwa mjadala wetu unafanyika online,msada pekee ninao weza kukusaidia kwa sasa ni kuniuliza swali,nami nita jitahidi kadili ya uwezo kukujibu kwa kukupa maelekezo.halikadhalika,nina video tutorials za kutosha za AE ambazo ni very useful for beginners.jisikie huru kunitafuta kama utazihitaji.
adobe after effect tutorials.
Yaan nikidowload faster to inamaliza bt niki instal..inafika kwenye next inapotea haionekan tena muendelezo wake kama wanavyoonyesha kwenye zle step kk
nicheki PM.Napataje hizo tutorials mkuu, tena naomba zote had za photoshop kama kuna uwezekano as niljaribu kugoogle ckupata nzuri
hapana agape.Huwa unatumia product za digital juice kwa kazi zako?😎
mkuu nashauri ujaribu kutumia link ambazo ni torrent base.mkuu nimejaribu kufuata link ya ku download AE, ime download adobe creative cloud, na hapo hakuna list ya ku download adobe after effects. Msaada tafadhali
mkuuCourse ya package nzima ya ado e ni sh ngapi na inafundishwa wapi kwa Dar
karibuni tujifunze.......uliza swali kama unalo.