Nina video ambayo ina background noise kiasi fulani(sababu ya camera ya quality ndogo),naweza kutoa background noise na premier pro??? Na je tool ipi ni bora zaidi kutoa background noise kwenye vids??
sijawi kukutana na case kama hiyo,ila nitajitahidi kukusaidia.suluhisho lake sidhani kama linaweza tatuliwa na premiere pro peke yake.
bila shaka wewe ni mtumiaji wa AE,naomba nikushauri upeleke hilo file ktk AE,then tumia masking tool ku-mask hiyo video uki-pay attention ktk movement ya subject ambayo unataka ibaki ktk video.
baada ya hapo create layer mpya na uiweke chini ya ile layer ya kwanza ambayo ina video ambayo umei-mask.
chukua ile video ambayo hujai-mask,i-drag ktk layer ya chini.baada ya hapo nenda ktk effect and preset window,tafuta effect/tool inaitwa fast blur(inapatikana pia ktk adobe premiere pro),apply fast blur tool ktk video yako ambayo hujai-mask.
fungua effect control window,shuka chini kidogo ya fast blur effect,kuna kibox kimeandikwa repeat edge pixels,tick hicho kibox,adjust fast blur effect from 00 to 100+.nenda tena kwenye effect and preset window,chukua effect inaitwa linear wipe(inapatikana pia ktk adobe premiere pro).apply linear wipe ktk video ambayo ulii-mask,adjust vizuri linear wipe ili kuondoa uhalisia ktk border. bila shaka mpako hapo utakuwa umeondoa BG noise kwa asilimia 70 au zaidi na unaweza kuirudisha video ndani ya premiere ili uendelee na editing.
matokeo yanaweza kuwa kama hivi ktk picha.
kabla ya ku-apply chochote.
wakati wa kufanya masking.
baada ya masking na baada ya ku-apply fast blur and linear wipe effects.
angalizo:maelekezo haya ni yangu mimi,mwingine anaweza kuwa na maelekezo tofauti lakini yenye matokeo mazuri zaidi.karibuni.