Adobe After Effect
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 144
- 75
Asante sana, naomba kujua kama kuna namna ya kuondoa back ground kwenye video iliyopigwa bila green/ blue screen?
sasa nataka kuwapa mosheni vikaragosi wangu wawili na imekaaje upande wa 3d motion me napenda sana hiyo kitu thanks
Adobe After Effects, asante sana, ache nifanya zoezi hili kwanza halafu nitarudi baadaye,
unaposema ku animate mask una maana gani? kwamba unaweka mask mpya kwa kila frame au?
thanks again mkuu
Asante sana kwa majibu mazuri yaliyoambatana na vielelezo murua, nitafanya hii kltu, nina footage nataka kutumia kwa project tatizo ina back ground.
Endelea kushusha nondo sasa, naona hakuna maswali zaidi.
nondo zipo ila nina shaka kama wapo members wengi wenye interest na AE ndani ya JF cos the topic is trending very slow.naogopa kupoteza mda wangu hapa kushusha vitu,halafu mwisho siku watu wakapuuza.
After Effects ni nzuri na inapunguza budget lakini mpango mzima ni Camera shooting, Kama camera man wako asipokuwa na vision ya kitu unachotaka kufanyia effects inakuwa ni useless so still camera man is the main man.
Umeshatuia Adobe After Effects CC ?
Haina shaka lukansola,tutaelimishana.Mimi niko tayari kupoteza muda wangu kukufuatilia mkuu.
Hivi unadhani mimi ni answering machine?
Samahani lakini mkuu, nilidhani mada inahusu kujifunza Adobe After Effects! unavyoongea ni kama; bila kuwa na camera man mzuri basi hakuna haja ya kujifunza after effetcs kwa sababu itakuwa ni useless, unatushauri tuanze kujifunza after effects baada ya kupata mpiga picha mwenye vision?
Kwanini unamuuliza kama alishawahi kutumia Adobe After Effects CC?
Kuhusu After Effects CC ni version iliyotoka baada ya CS6, nilikuwa namuuliza sababu nime install na kuna ishu imenipa ugumu sehemu flani nilitaka anisaidie
upo sahihi sana kaka,ila mambo ya camera operator au director ku visualize ideas kama zilivyo andikwa ndani ya script na kuziunda katika hali halisi ya kifilamu,hufanyika zaidi kwa zile big budget project.Kuanza kujifunza After Effects haiitaji uwe na camera man, good camera man anakuja pale unapofanya real production sababu director ndio anakuwa na vision ya iyo shot. My Point ilikuwa Camera man na Director wana big role kwenye After Effects sababu kabla hujafanya effects lazima uwe una picha iko kichwani (Picha ya effects unayotaka kufanya)
Kuanza kujifunza After Effects haiitaji uwe na camera man, good camera man anakuja pale unapofanya real production sababu director ndio anakuwa na vision ya iyo shot. My Point ilikuwa Camera man na Director wana big role kwenye After Effects sababu kabla hujafanya effects lazima uwe una picha iko kichwani (Picha ya effects unayotaka kufanya)
Kuhusu After Effects CC ni version iliyotoka baada ya CS6, nilikuwa namuuliza sababu nime install na kuna ishu imenipa ugumu sehemu flani nilitaka anisaidie