Laptop bei nafuu
Member
- Feb 7, 2012
- 72
- 69
- Thread starter
- #21
Laptop Kwa ajiri ya shughuli za steshenari boss
Unahitaji laptop kuanzia core i5 ram atleast 4 au 8 ila kwenye storage unaweza kuwa na hard disk kwa ajili ya kupata space kubwa kwa bei ndogo ila ukaweka na ssd sehemu ya window ikakusaidia kuwa speed maaana unaweza kuwa na wateja wengi halfu speed ikawa ndogo