Niulize kuhusu mashine za ujasiriamali na upatikanaji wake

6f7cf81dd4d261adb328cbea09698af7.jpg
Halow ,,asante nimeona hiyo machine je pressing machine inapatikana kwa ajili ya viatu mkuu,,nilitaka complete sewing cutting and pressing plz
 
Wajasiriamali wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta mashine/Vifaa kwa ajili ya kurahishisha uzalishaji, kuongeza thamani ya bidhaa zao na kuboresha shughuli za biashara zao kwa ujumla.
Vifaa vingi Tanzania hakuna, THE BRIDGE tupo China na DSM KINONDONI MKWAJUNI Nyuma ya CCM (HATUPO tena Tabata segerea, tulihama toka 01.09.2017)
Niulize mashine yoyote unayotaka na nitakuletea mpaka dukani DSM. Mashine zote zinatoka China kwa ODA tu na baadhi chache zipo dukani kwetu DSM. Hatuwezi kuweka kila aina ya mashine dukani DSM kwa kuwa baadhi ya mashine ni ghali na hukaa muda mrefu dukani bila wateja kwa kuwa wateja hununua kulingana na mahitaji yao. Hivyo weka oda na tutakuletea

Nitajibu kadri nitakavyokuwa nazipata kutoka viwandani kwa watengenezaji China. Hivyo sitakuwa na majibu ya papo kwa papo kwa baadhi ya maswali.
unaweza kutuandikia thebridgetz@yahoo.com au pita katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama FB na Insta kwa majina @ thebridgetz na @thebridgegulio na kuona mashine nyingi tunazoleta kwa oda au ambazo tayari zipo dukani DSM.
Namba ya kuweka oda whatsApp +8613125094947(China), Namba ya dukani DSM +255715316614

ANGALIZO
1. Unapouliza taarifa weka taarifa KAMILI ya unachokitaka mf. brand name, kiasi cha uzalishaji unachotaka mashine izalishe ili itusaidie kupata taarifa ya bidhaa husika viwandani kwa urahisi.
2.Usafiri wa meli ni siku 45-60. HATUSAFIRISHI KWA NDEGE. Ukitaka usafiri wa ndege utalipia mwenyewe gharama za ndege (sisi tutasimamia tu mchakato)
3. Utalipia 75% kabla ya mzigo kufika, 25% baada ya mzigo kufika. Malipo yote hufanyika bank/cash/Tigopesa/Mpesa. Tunapokea cash dukani kwa bidhaa ndogo ndogo TU, kwa bidhaa za gharama kubwa utalipia BANK TU na utapewa risiti pamoja na quotation form. Hakuna malipo ya ziada baada ya kulipia bidhaa yako. Utaifata bidhaa dukani kwetu.
4. Ukiona swali lako halijajibiwa, VUTA SUBIRA, tutajibu kadri tutakavyokuwa tunapata taarifa zake tunapopita viwandani/madukani. Tunatumia muda mwingi kupita viwandani, hivyo kuwa mvumilivu na tumia lugha ya staha unapouliza.
5. Ikiwa mteja atataka "Sales Agreement" atagharamia gharama za mwanasheria yeye mwenyewe na gharama hizo zitakuwa nje ya bei ya bidhaa. Sales agreement lazima iendane na vigezo na masharti yaliyomo katika Profoma invoice (PI) atakayopewa mteja.
6.Ikiwa huamini katika tunachokifanya, basi ni busara kuendelea na shughuli zako nyingine ili utoe muda tuwahudumie wengine.

Karibu tukuhudumie.
THE BRIDGE
"Bridging Opportunities"

Nahitaji mashini za kutengenenea furniture kama kuranda mbao, kukata, kutengeneza urembo aina tofauti etc. Nahitaji kwa ajili ya matumizi yangu kwa order za wateja tu.
 
Nahitaji mashine printer ya kuchapisha kava za movie hizi za collection..karatasi ngumu au laini A4.bei take kwa used na mpya...Picha ing'ae (real image)
 
Nahitaji mashine printer ya kuchapisha kava za movie hizi za collection..karatasi ngumu au laini A4.bei take kwa used na mpya...Picha ing'ae (real image)
mtumba huwa hatuleti. Tupe brand name unayotaka (kama unataka brand maalumu). kama brand yoyote ni sawa, ok! production capacity? printer iwe leser jet/ deskjet? Tupe taarifa kamili ili ituwepesishie kupata unachotaka kwa haraka. vinginevyo, tutahangaika na tukileta taarifa utasema nilitaka hili na sio hiki, kwa hiyo tuambie mapema ili tutafute kile hasa unataka!
 
mtumba huwa hatuleti. Tupe brand name unayotaka (kama unataka brand maalumu). kama brand yoyote ni sawa, ok! production capacity? printer iwe leser jet/ deskjet? Tupe taarifa kamili ili ituwepesishie kupata unachotaka kwa haraka. vinginevyo, tutahangaika na tukileta taarifa utasema nilitaka hili na sio hiki, kwa hiyo tuambie mapema ili tutafute kile hasa unataka!
Yan sina utaalamu Nazi na ndio maana nikakutajia kazi nnayotaka kufanyia(kuchapisha kava za movie kwa karatas laini ukubwa wa A4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom