Niulize kuhusu mashine za ujasiriamali na upatikanaji wake

Kipilipili

JF-Expert Member
May 25, 2010
2,272
1,882
Wajasiriamali wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta mashine/Vifaa kwa ajili ya kurahishisha uzalishaji, kuongeza thamani ya bidhaa zao na kuboresha shughuli za biashara zao kwa ujumla.
Vifaa vingi Tanzania hakuna, THE BRIDGE tupo China na DSM KINONDONI MKWAJUNI Nyuma ya CCM (HATUPO tena Tabata segerea, tulihama toka 01.09.2017)
Niulize mashine yoyote unayotaka na nitakuletea mpaka dukani DSM. Mashine zote zinatoka China kwa ODA tu na baadhi chache zipo dukani kwetu DSM. Hatuwezi kuweka kila aina ya mashine dukani DSM kwa kuwa baadhi ya mashine ni ghali na hukaa muda mrefu dukani bila wateja kwa kuwa wateja hununua kulingana na mahitaji yao. Hivyo weka oda na tutakuletea

Nitajibu kadri nitakavyokuwa nazipata kutoka viwandani kwa watengenezaji China. Hivyo sitakuwa na majibu ya papo kwa papo kwa baadhi ya maswali.
unaweza kutuandikia thebridgetz@yahoo.com au pita katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama FB na Insta kwa majina @ thebridgetz na @thebridgegulio na kuona mashine nyingi tunazoleta kwa oda au ambazo tayari zipo dukani DSM.
Namba ya kuweka oda whatsApp +8613125094947(China), Namba ya dukani DSM +255715316614

ANGALIZO
1. Unapouliza taarifa weka taarifa KAMILI ya unachokitaka mf. brand name, kiasi cha uzalishaji unachotaka mashine izalishe ili itusaidie kupata taarifa ya bidhaa husika viwandani kwa urahisi.
2.Usafiri wa meli ni siku 45-60. HATUSAFIRISHI KWA NDEGE. Ukitaka usafiri wa ndege utalipia mwenyewe gharama za ndege (sisi tutasimamia tu mchakato)
3. Utalipia 75% kabla ya mzigo kufika, 25% baada ya mzigo kufika. Malipo yote hufanyika bank/cash/Tigopesa/Mpesa. Tunapokea cash dukani kwa bidhaa ndogo ndogo TU, kwa bidhaa za gharama kubwa utalipia BANK TU na utapewa risiti pamoja na quotation form. Hakuna malipo ya ziada baada ya kulipia bidhaa yako. Utaifata bidhaa dukani kwetu.
4. Ukiona swali lako halijajibiwa, VUTA SUBIRA, tutajibu kadri tutakavyokuwa tunapata taarifa zake tunapopita viwandani/madukani. Tunatumia muda mwingi kupita viwandani, hivyo kuwa mvumilivu na tumia lugha ya staha unapouliza.
5. Ikiwa mteja atataka "Sales Agreement" atagharamia gharama za mwanasheria yeye mwenyewe na gharama hizo zitakuwa nje ya bei ya bidhaa. Sales agreement lazima iendane na vigezo na masharti yaliyomo katika Profoma invoice (PI) atakayopewa mteja.
6.Ikiwa huamini katika tunachokifanya, basi ni busara kuendelea na shughuli zako nyingine ili utoe muda tuwahudumie wengine.

Karibu tukuhudumie.
THE BRIDGE
"Bridging Opportunities"
 
Wajasiriamali wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta mashine kwa ajili ya kuboresha shughuli za biashara zao.
Niulize mashine yoyote unayotaka na nitakuletea mpaka dukani DSM.Mashine zote zinatoka China kwa ODA tu na baadhi chache zipo dukani kwetu DSM.
Nitajibu kadri nitakavyokuwa nazipata kutoka viwandani kwa watengenezaji China.
unaweza kutuandikia thebridgetz@yahoo.com au kupita katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama FB na Insta kwa majina thebridgetz @thebridgegulio na kuona mashine nyingi tunazoleta kwa oda au ambazo tayari zipo dukani DSM.
Karibu tukuhudumie.
Mimi ninahitaji mashine ya usagaji na ukoboaji wa sembe kama inayotumiwa na:

- ALASKA TANZANIA
- Wazee wa Sembe Tofauti ( IRINGA )

kama kuna mtu anazo taarifa za aina ya mashine zao, quality, capacity, gharama zake, specifications, brand. Naweza hata kulipia kwa mwenye uwezo wa kuzipata
 
Mnazo mashine za kukamulia alizeti?
Zipo ndogo dukani sasa hivi dsm. Kwa mashine kubwa wasiliana nasi kuweka oda. Namba ya kuweka oda ni whatsApp +8613125094947(China) .Namba ya Dukani DSM 0715316614
IMG_20170702_132930_596.jpg
Hii ipo dukani sasa hivi, tuna punguzo kwa sasa. bei ya punguzo ni laki 9 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_2017-08-19-12-53-31.jpeg
    Screenshot_2017-08-19-12-53-31.jpeg
    58.1 KB · Views: 419
  • IMG_20170811_173745.jpg
    IMG_20170811_173745.jpg
    103.5 KB · Views: 395
Machine ya kupandia,kupalilia mahundi mnayo?
01d0e2b7cb334cb469ca944e3a8ee3e0.jpg
IMG_20170510_014329_375.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Bei za mashine za kupalilia/kulimia/kufyekea ni hizi hapa chini kulingana na idadi ya CC za mashine
*1. Mashine+Jembe 1(Kufyekea/kulimia/kupalilia)*
35CC: Bei 990,000/=
37CC:Bei 1,149,000/=
42CC: Bei 1,200,000/=
52CC:Bei 1,249,000/=
*2. Mashine+Majembe 2 (Kufyeka & kulima AU Kufyeka & kupalilia AU kulima & kupalilia)*
35CC: Bei 1,125,000/=
37CC:Bei 1,299,000/=
42CC: Bei 1,360,000/=
52CC: Bei 1,399,000/=
*4. Mashine + Majembe 3 (kufyeka+ kupalilia+kulima)*
35Cc:Bei 1,499,000
42CC: Bei 1,560,000
52Cc: Bei 1,599,000
NB: Bei hizi ni kwa mashine zenye ubora mzuri, kwa mashine za bei rahisi na ubora wa Chini, wasiliana nasi kujua bei zake. Kwa mashine za bei rahisi hatutoi uhakika wa uimara wake (Buy at your own risk).
Weka oda
WhatsApp +8613125094947 (China)
+255715316614 (DSM,TZ)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom