Niulize kuhusu mashine za ujasiriamali na upatikanaji wake

Nahitaji mashine ya kukunia nazi
6004c2a2555c1f1b5f70978f4286f140.jpg
3575ecca6a4edc196cd0110465ac1a4a.jpg
 
Mkuu machine ya kuchakata mihogo inapatikan
Kuchakata ni neno pana mkuu. Linahusisha mashine zaidi ya moja. mfano, kumenya, kukata, kukausha, kusaga, kufungasha nk. michakato yote hii huwa na mashine zaidi ya moja. Be specific unahitaji kwa mchakato gani?
ac5f8f841ddadc524d9dcf45fc3038a9.jpg
 
Mkuu binafs nashukuru kwa huduma yako nimeikubari na mungu akubariki ktk hili,

Wewe kama mtoa huduma hii umejipangaje pindi machine unazo tuuzia zinapo pata hitrafu ya kifaa fulani ktk machine? Kwasababu some of them are common kiasi kwamba spears hapa kwetu hazipatikani mpaka mtu aagize kutoka nje.

Naomba maelekezo yako tusije kurupuka kununua badae tukajutia
 
Wajasiriamali wengi wamekuwa wakihangaika kutafuta mashine/Vifaa kwa ajili ya kurahishisha uzalishaji, kuongeza thamani ya bidhaa zao na kuboresha shughuli za biashara zao kwa ujumla.
Vifaa vingi Tanzania hakuna, THE BRIDGE tupo China na DSM KINONDONI MKWAJUNI Nyuma ya CCM (HATUPO tena Tabata segerea, tulihama toka 01.09.2017)
Niulize mashine yoyote unayotaka na nitakuletea mpaka dukani DSM. Mashine zote zinatoka China kwa ODA tu na baadhi chache zipo dukani kwetu DSM. Hatuwezi kuweka kila aina ya mashine dukani DSM kwa kuwa baadhi ya mashine ni ghali na hukaa muda mrefu dukani bila wateja kwa kuwa wateja hununua kulingana na mahitaji yao. Hivyo weka oda na tutakuletea

Nitajibu kadri nitakavyokuwa nazipata kutoka viwandani kwa watengenezaji China. Hivyo sitakuwa na majibu ya papo kwa papo kwa baadhi ya maswali.
unaweza kutuandikia thebridgetz@yahoo.com au pita katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama FB na Insta kwa majina @ thebridgetz na @thebridgegulio na kuona mashine nyingi tunazoleta kwa oda au ambazo tayari zipo dukani DSM.
Namba ya kuweka oda whatsApp +8613125094947(China), Namba ya dukani DSM +255715316614

ANGALIZO
1. Unapouliza taarifa weka taarifa KAMILI ya unachokitaka mf. brand name, kiasi cha uzalishaji unachotaka mashine izalishe ili itusaidie kupata taarifa ya bidhaa husika viwandani kwa urahisi.
2.Usafiri wa meli ni siku 45-60. HATUSAFIRISHI KWA NDEGE. Ukitaka usafiri wa ndege utalipia mwenyewe gharama za ndege (sisi tutasimamia tu mchakato)
3. Utalipia 75% kabla ya mzigo kufika, 25% baada ya mzigo kufika. Malipo yote hufanyika bank/cash/Tigopesa/Mpesa. Tunapokea cash dukani kwa bidhaa ndogo ndogo TU, kwa bidhaa za gharama kubwa utalipia BANK TU na utapewa risiti pamoja na quotation form. Hakuna malipo ya ziada baada ya kulipia bidhaa yako. Utaifata bidhaa dukani kwetu.
4. Ukiona swali lako halijajibiwa, VUTA SUBIRA, tutajibu kadri tutakavyokuwa tunapata taarifa zake tunapopita viwandani/madukani. Tunatumia muda mwingi kupita viwandani, hivyo kuwa mvumilivu na tumia lugha ya staha unapouliza.
5. Ikiwa mteja atataka "Sales Agreement" atagharamia gharama za mwanasheria yeye mwenyewe na gharama hizo zitakuwa nje ya bei ya bidhaa. Sales agreement lazima iendane na vigezo na masharti yaliyomo katika Profoma invoice (PI) atakayopewa mteja.
6.Ikiwa huamini katika tunachokifanya, basi ni busara kuendelea na shughuli zako nyingine ili utoe muda tuwahudumie wengine.

Karibu tukuhudumie.
THE BRIDGE
"Bridging Opportunities"
Mashine ya kuosha magari au pikipiki inayotumia petrol zipo? Na bei yake ni sh ngapi?
 
Kuchakata ni neno pana mkuu. Linahusisha mashine zaidi ya moja. mfano, kumenya, kukata, kukausha, kusaga, kufungasha nk. michakato yote hii huwa na mashine zaidi ya moja. Be specific unahitaji kwa mchakato gani?
ac5f8f841ddadc524d9dcf45fc3038a9.jpg
Nlikuwa naulizia machine kuanzia kutoa maganda hadi kupata unga
 
Mkuu, mie nimeulizia mashine ya kishona viatu ila sipati majibu. Hata kama haipo naomba tu kupatiwa majibu angalau.!
 
Nlikuwa naulizia machine kuanzia kutoa maganda hadi kupata unga
mkuu, ukiusoma uzi mwanzoni kabisa, nimeeleza kwamba sitakuwa na majibu ya papo kwa papo! Na kama kila anaeuliza nitakuwa najibu kuwa avute subira namtafutia, basi uzi utakuwa mrefu kwa comment za "subiri nakutafutia".
Kila kinachopostiwa humu amini nakisoma na nakifanyia kazi. Ukiona alieuliza mwanzoni hakujibiwa na amejibiwa aliechelewa kuuliza, juwa ni kwamba majibu yanategemea UPATIKANAJI wa bidhaa.
Naamini ufafanuzi huu utaekeweka kwa mtazamo CHANYA.
Mashine yako bado naifanyia kazi, nikipata nitaiweka hapa kama nilivyoweka kwa wengine. Pole kwa kusubiri mkuu!
Mkuu, mie nimeulizia mashine ya kishona viatu ila sipati majibu. Hata kama haipo naomba tu kupatiwa majibu angalau.!
 
Mkuu naulizia oven ndogo(matumizi ya nyumbani) inayoweza kuoka vitu kama nyama, samaki,mikate etc.

Kama unayo unauzaje? Niwekee picha
 
Mkuu naulizia oven ndogo(matumizi ya nyumbani) inayoweza kuoka vitu kama nyama, samaki,mikate etc.

Kama unayo unauzaje? Niwekee picha
4efb2593bcdb94c0515aa473a442069b.jpg

Hiyo tulikuwa nayo ila kwa sasa tumemaliza. Unaweza kuweka oda na utaletewa
 
Back
Top Bottom