Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,685
- 6,410
FafanuaNyuki wanatumia direction ya jua kujua anapoishi, ila kuna elimu kubwa sana kwenye hili.
FafanuaNyuki wanatumia direction ya jua kujua anapoishi, ila kuna elimu kubwa sana kwenye hili.
Malkia ndiye final kwenye himaya; "siri zake" lazima zilindwe haswa kwa heshima yake na jamii husika. The best option ya kulinda siri hizo ni kifo tu kwa mhusika baada ya "kuzionja au kuziona". Sababu ndio hiyo.Kwenye mzinga wa nyuki kunakuwa na malkia wa ngp?
Na kwann nyuki dume akifanya mapenzi anakufa?
Lakini malkia anaishi?