kweli 100%
Katika history ya familia yao, kuna mtu mwingine mwenye.vitiligo???
na kuhusu mazingira ya kifo chake umeyafatilia vizuri? Umekalil kila linalosemwa ni rumorz? Nipe uchunguzi na jinsi ulivyo fatilia hadi kusema hayo uliyo yasema
Unafikiri nin? hasa siri ya mafanikio ya michal jackson, pamoja na kuwa mwanamziki je? alikuwa na vyazo vingine vya kimapato!
Unafikiri nin? hasa siri ya mafanikio ya michal jackson, pamoja na kuwa mwanamziki je? alikuwa na vyazo vingine vya kimapato!
Ukiachana na kuwa mwanamuziki Michael alikuwa mjasiriamali, ..
Anamiliki haki za kundi maarufu la The beatles, pia ana hisa za kutosha katika makampuni mbalimbali yanayojishughulisha na maswala ya muziki
Ukiachana na kuwa mwanamuziki Michael alikuwa mjasiriamali, ..
Anamiliki haki za kundi maarufu la The beatles, pia ana hisa za kutosha katika makampuni mbalimbali yanayojishughulisha na maswala ya muziki
Mpaka nimekuja hapa najiamini nipo well informed...ukitaka evidance ya vitiligo ya michael jackson alisema yeye mwenyewe mwaka 1993 kwenye mahojiano na oprah
pia hata Daktari wake Conrad Murray amethibitisha hayo kuwa michael jackson alikuwa anaumwa Vitiligo , na chanzo kingine cha uhakika ni ripoti ya Postmotum ya kifo chake maana ilitolewa na Daktari aliyemchunguza alithibitisha hilo
Mkuu acha kashfa, kama hujaridhika na majibu nambie ni kujibu vipi au unataka majibu ya NDIYO au HAPANA!?
Hayo mambo nayafahamu kushinda unavyofikiria, mimefuatilia pande zote na nimegundua kuna mambo mengi sana ya kizushi...likiwemo hlo la Michael kuwepo KKK
Huna unalijua pumba tu unajibu ww unadhani tony madola alitukanwa kwaajili ya recism ,,, moja ya chanzo cha kifo chake ni pale aliposlimu na kutaka kuutangazia uma ubaya wa secret society., .
Hzo zote conspiracy theories ila hakuna evidance ya moja kwa moja kuwa Michael alikuwa member wa hayo makundi..
Michael alikuwa mwanamuziki mwenye kipaji kikubwa mno tokea akiwa na miaka 6, kipaji chake na management nzuri ndo vimechangia mafanikio yake
ntaendelea kupinga hayo mawazo yako ya udini na conspiranza, kama kutangaza michael alikuwa na uwezo wa kutangaza muda wowote na wakati wowote..
nakusihi usipende kuyashika mambo haya mnayoona kwenye cd uchwara na mkaziassociate na imani zenu, Tony ni mmbaguzi huo ndo ukwli kama Michael aliweza kusema Tony ni mmbaguzi kwann ashindwe kusema huo uzushi unasema..
nakusihi sana hizi cd uchwara za ubungo ukiziangalia changanya na akili zako