el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,064
Napenda kujinasibu kuwa mi ni moja ya mashabiki wake wa kutupwa tokea udogo wangu, kama shabiki wake nimekuja kujua kuna mambo mengi watu hawafahamu kuanzia ilikuwaje akawa anabadilika rangi kiasi kufikia mweupe kabisa, mafanikio, controversy kwenye maisha yake , scandal mbali mbali pamoja na legacy yake..
Baadhi ya rekodi zake ni...
1. Mwanamuziki mwenye mafanikio zaidi katika historia ya muziki wa biashara(Guiness book of Records)
2. Mwanamuziki maruufu zaidi
3. albamu iliyouza zaidi " Thriller"
4. Mwanamuziki mwenye tuzo nyingi zaidi zinazoheshimika
5 Mwanamuziki Tajiri zaidi ambaye amefariki
Maisha yake ya Ndoa ...
Lisa Presley ...Divorced
Debbie Rowe...Divorced
idadi ya watoto
watatu
Nakaribisha swali lolote kuhusiana na Michael Joseph Jackson.......