Niulize chochote kuhusu mapenzi...

Niulize chochote kuhusu mapenzi...

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Mimi ni mtaalam wa masuala ya jinsia na mapenzi, ya vitendo ya hisia na ya ishara..

kama unatatizwa na kitu lete swali!
 
"LOVETIME COLLEGE OF HEALTH, SEXOLOGY AND LOVE SCIENCE"

Karibu kwa swali jingine!!
 
Tafadhali ambatanisha C.V yako!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi 'mapenzi' ni nini hasa?
Je, 'kupenda' ni nini?
Je, 'ngono' ni nini? Kwa nini ngono iwepo ktk kile kiitwacho mapenzi?


Ni hayo tu mtaalam wetu.
 
Ni sehemu gani ambayo mwanamke wa aina yeyote ukimgusa, ni lazima nyege zifike 100% kama sio almost??? kumbuka mimi pia ni mwanamke!
 
am a gentleman..
soon to post my CV..
love is to care for a person in all aspects of life..
 
kupenda ni kumjali mtu mwingine..
ngono ni mapenzi ya watu wawili wasio wana ndoa..
watu wanafanya ngono sababu ni raha.
 
nina miaka 29... ofcoz i always do!
sehemu sensitive zaidi kwa mwanamke ni kisimi (clitorisis)

ukigusa lazima atanue...
 
am a gentleman..
soon to post my CV..
love is to care for a person in all aspects of life..

Una umri gani? Umekuwa kwenye realationship ngapi so far? katika hizo ngapi umeacha na ngapi uliachwa wewe?What reasons can best explain the current relationship crisis?
 
watu wanafanya ngono sababu ni tendo linaloendana na hisia za mwili (raha).. kumbuka tunasema "ngono" si "tendo la ndoa"
 
Kwa jibu hili tu tayari ushaharibu...haya kajipange upya haraka

Umeona eehh, ngono sio siku zote ni mapenzi.... ngono ni tendo tu, laweza fanywa kama matokeo ya mihemko, au vinginevyo. Ndo maana wadada wanaligawa kama pipi wakijua ni sign ya love eehh kumbe wala
 
Je nini tofauti ya ngono na tendo la ndoa? Je unawezaje kumtongoza mwanamke anayeringa? Ni hayo kwanza mtaalamu wetu!
 
am 29.. been in love with 18 girls..

i kicked away 11 girls..
i was 'fired' by the rest..

"love of now is MONEY FIRST"
 
unafikiri baba yako yako alimpendea nini mama yako
 
ngono ni ufanye mapenzi kati ya watu 2 wasio wana ndoa..

tendo la ndoa (as it stands) ni kwa watu 2 walio wana ndoa..
 
Back
Top Bottom